Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

Apa Tatizo siyo la muheshimiwa raisi Samia hatakiwi kulaumiwa kwa lolote.

Kwanini? Kwa sababu hata kama ni mkuu wa nchi, hatumii watu kama machine kwa kutoa command.

Tatizo kubwa liko kwenye njaa zetu na matumbo yetu. Kama sivyo mtu kama siro, amekuwa IGP anariport kwa raisi moja kwa moja, badae akawa balozi akaanza kuliport kwa waziri wa mambo ya nje,

Sasa hv kutoka kuwa balozi kaenda kuwa mkuu wa mkoa tena kigoma,

Hivi angemwambia mheshimiwa raisi "kwa unyenyekevu mkubwa nakushukuru, lakini nakuomba uniruhusu nipumzike, unadhani Mama angekataaa? Ni njaa zetu tu. Raisi hatakiwi kunyoshewa kidole kwa lolote. Aende tu kigoma apambane na hali yake.
 
Ukija huku kwa tuliopo majeshini Askari ni linatumika pale mtu amefanya mafunzo yake kwa vitendo kama ni TPDF ni ameenda mafunzo ya porini na kama ni Polisi ni amefanya pia mafunzo mafunzo ya Porini (Field Craft) na Magereza vivyo hivyo ila mwanafunzi huyohuyo kama hajafanya hayo mafunzo huyo sio Askari maana yake kama ni kwa upande wa Polisi huyo huyo ni bado anasomea u-Polisi ila akienda Porini na akimaliza atakuwa anaitwa Askari Polisi, Askari Magereza na kwa TPDF kilishakosekana kiswahili fasaha cha kulitamka Jina hilo ila mara nyingi Raia wanawaita Askari Jeshi.

Nahisi pia utauliza kwanini Uhamiaji na Zimamoto sijazijumuisha, sijazijumuisha kwa sababu wao hicho kitu hawafanyi (mafunzo ya kimedani) ila ni mazoea tu na ilishazoeleka kuitwa hivyo

Ukija kwenye Uanajeshi ni kwamba Askari wa Tpdf ni mwanajeshi, Askari wa Polisi ni Mwanajeshi, Askari wa Magereza ni Mwanajeshi pia na hata kijana wa Jeshi ka Kujenga Taifa pia ni Mwanajeshi
Kwa mfano mtu akikuambia mimi ni askari alafu tena mtu akuambie mimi ni mwanajeshi hapo kuna tofauti?
 
Ni upumbavu wa watu wawili tu, unakubali kuteuliwa wakati umestaafu...hujui Nini maana ya kustaafu?.
Unateua aliyestaafu...hujui Nini maana ya mtu kustaafu?. Watu chungu mzima huwaoni, teua hata wapinzani km alivyofanywa magu...wakati wa siasa mtazungumza kisiasa, wakati wa Kazi mtazungumza kazi full stop!
 
Umenena
 
Back
Top Bottom