Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

Sirro na Mabeho walipambana mwezi ule wa March mpaka Samia akaweza kuapishwa ikulu na kuwa Rais wa sita wa JMT.

Hakuna kiongozi mkuu wa nchi mwenye kuweza kuwatupa watu wanaokuwa waaminifu katika kipindi kigumu na muhimu kwake kiuongozi.
 
Mkuu ndiyo uhalisia huo siyo kuvuchukulia poa, Una jua Jumanne Murilo kwa cheo chake ni mdogo kwa Brigedia General?. IGP ni mdogo ata kwa Luteni General wa JWTZ.
Hichi kitu nakataa never, yani IGP ni mdogo kwa Lt. General haha unafurahisha wewe

Yaani Lt. General mwenyewe anampigia saluti IGP halafu wewe unakuja unapotosha umma
 
Kwaiyo ata bilionea wambura pamoja na oesa zote izo bado atakuja kupewa kazi tena
 
Kwa nchi yetu hata waziri mkuu mstaafu anaweza kuteuliwa kuwa Katibu tawala wa Mkoa na maisha yakaendelea tu
Akiomba kupumzika halazimishwi.
Yawezekana wengine baada ya kustaafu hujipendekeza kwa kusema nipo tayari kwa kazi yoyote.
 
Poisi siyo Jeshi ndiyo maana kule Irani hawauliwi na Majeshi ya Israeli. Na ata hawazugumziwi kama wamekufa wangapi.
Sasa huo ni mfumo wa nchi husika ndo una-matter hapa, inawezekana kweli katika nchi ulizo taja hapo Polisi huko sio Jeshi lakini Tanzania Polisi ni Jeshi na hata vitani wanaenda pamoja na TPDF Sema hamsomi hata kujua majeshi yaliyo katika nchi yenu.

Kikatiba tuna majeshi manne
TPDF
POLISI
MAGEREZA NA
JKT
Hya ndo majeshi yanayotambulisha mpaka na katiba kwa hiyo wewe ukija na kusema sio jeshi unakosea na ndo maana utasikia Jeshi la Polisi au Jeshi la Magereza na nk.
 
Kwa mfano mtu akikuambia mimi ni askari alafu tena mtu akuambie mimi ni mwanajeshi hapo kuna tofauti?
 
Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC?

Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya

Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro kapelekwa Kigoma kuwa Mkuu wa Mkoa.

Toa maoni yako
Msiumize vichwa. Life isn’t linear. Haya mambo yapo, yalikuwepo na yataendelea kuwepo. Ifuatayo ni mifano michache kati ya mingi ambayo ni high profile:

✍️William Howard Taft, the 27th U.S. President, baadaye aliteuliwa kuwa the 10th Chief Justice of the U.S. Supreme Court.
✍️Frederik Willem de Klerk, 7th State President of South Africa, baadaye alihudumu kama deputy President.
✍️Rashid Mfaume Kawawa, 2nd Tanganyikan Prime Minister and 1st Tanzanian Prime Minister, baadaye alihudumu kama waziri wa kawaida. Hata Cleopa Msuya naye alipita njia hii.
✍️Former Prime Ministers Joseph Sinde Warioba and John Samuel Malecela wamewahi kuhudumu kama wabunge wa kawaida baada ya kutoka kwenye nafasi ya uwaziri mkuu.

Mifano ni mingi sana. So, take it easy; life isn’t linear!
 
Wewe utakuwa polisi. Hata hapo ujaelewa. Soma vizuri uelewe. Sura inasema 'Majeshi ya Ulinzi'. Swali unayajua 'Majeshi ya Ulinzi' au 'Defense Forces' kwa kiingereza?
Ikiwa unashindwa kusoma maneno machache kama hayo, sasa utakuwa Open School au Closed School?Usiniulize mimi wala wewe kuwa na tafsiri yako, hiyo attachment tayari imeshaelezea kwa mujibu wa katiba Ibara ya 147 mwanajeshi ni nani!! Acha uvivu wa kusoma!
 
Hujui tofauti ya Soldier na police?
 
Lissu atateuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya kakonko akasimamiwe na Sirro maana anahitaji usimamizi
Acha utani, Kakonko tunahitaji wakuu wa Wilaya wenye taaluma za uchumi au uchumi wa viwanda - tyr tunae

Mwanasheria atafaa Bukoba, Dar au Arusha kwenye migogoro ya ardhi
 
Back
Top Bottom