Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

HIlo neno 'kijeshi' unaelewa maana yake? Haluhusiani na polisi hivyo halifai kutumika kumuelezea polisi kwa sababu sio jeshi. Sema 'kipolisi'.
Aaah kwahiyo Polisi siyo jeshi, utakua upo sahii ndiyo maana kwenye vita kati ya Israel na Irani sijasikia Israel wakisema wamewaua maafisa wa ngazi za juu wa polisi. Nasikia wakisema wameua makamanda waki jeshi.
 
Ni aibu Sana, huyu jamaa itakuwa financialy hsyupo vzr, akaomba kupitia mlango wa nyuma, apewe kazi asife njaa,nchi hii ina vijana wengi wangeweza kupewa, hii kazi, kwanini apatiwe MTU tayari ana miaka 65,kafsnya utumishi for 40yrs, anakula pensheni, kitu gani kipya anapeleka,
Ndio maana, tunasema hivi vyeo vya RC, DC, ni vya kipuuzi, anaenda pale kuzeekea tu, Hana function maalum!
Lakini mbona kipindi cha Mwalimu Nyerere vijana wengi waliaminiwa na kupewa Uongzi mkubwa tu bila wasiwasi inakuaje kwasasa vijana hawapewi nafasi, tulitegemea ata nafasi za kawaida wangepewa vijana chini ya miaka 45 mfano Wizara ya michezo, Wizara ya kiimo, Afisa habari mawasiliano Ikulu. Wakuu wa wilaya wote walitakiwa wapewe vijana.
 
JKT ya mwanzo haikuwa sehemu ya Jeshi, unaelewa hilo? Ilikuwa chini ya wizara ya utamaduni. Ilikuwa kama sehemu ya kuwakutanisha vijana wa wakati huo.

Huo mlinganisho wa vyeo wa taasisi zisizofanana umeutoa wapi?
Poisi siyo Jeshi ndiyo maana kule Irani hawauliwi na Majeshi ya Israeli. Na ata hawazugumziwi kama wamekufa wangapi.
 
Aaah kwahiyo Polisi siyo jeshi, utakua upo sahii ndiyo maana kwenye vita kati ya Israel na Irani sijasikia Israel wakisema wamewaua maafisa wa ngazi za juu wa polisi. Nasikia wakisema wameua makamanda waki jeshi.
Kwa sababu polisi ni raia. Hata kwenye vita vya Ukraine huwezi sikia vituo vya polisi vimeshambuliwa na Russia kwa sababu ni sehemu ya mamlaka ya kiraia kama unavyoona ofisi ya serikali ya mtaa.

Neno 'force' linaweza kuwa na maana zaidi ya moja lakini sio 'jeshi'. Jeshi ni chombo na inaeleweka hivyo.
 
Sana kama ni adhabu basi sirro kapewa mbaya zaidi
Hapana Sirro hajapewa adhabu. Hakuna IGP aliyemaliza muda wake akateuliwa katika nafasi za utendaji.
Mara nyingi wamekuwa katika Bodi za mashirika ya Umma

Sirro aliteuliwa kwenda Zimbabwe kuwa Balozi. Jiulize kwanini ilitokea mara moja baada ya kuwa IGP
Sasa hivi kateuliwa kuwa RC

Kinachoendelea ni ''kumweka'' Sirro karibu, ni mtu aliyebeba siri nyingi na nzito . Hawawezi kumwacha tu vijiweni
Kifua cha Sirro ''kingefunguliwa'' watu wangeshangaa! uzito wa yaliyomo!

JokaKuu
 
Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC?

Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya

Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro kapelekwa Kigoma kuwa Mkuu wa Mkoa.

Toa maoni yako
Mzee yupo kijiweni bora amekumbukwa hela ya sukari, ndiyo maana hizi nafasi ufanisi ni zero na mzigo kwa walipa kodi
 
Ni sawa kabisa, hata anayekwenda kuchukua nafasi yake ni Kamisha kamili wa polisi na mkuu wa zamani wa jeshi la zima moto, CP Tobias Andengenye.

Kwa mkoa wa Kigoma hata wakuu wa wilaya ni maafisa waandamizi wa 'vyombo'!
 
Hili la hawa polisi kuwa Makada wa ccm ni hatari sana
 
Back
Top Bottom