Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Sidhani kama amefika huko. Nadhani yuko 45 to 49 hapo.Siro amevuka 55 yupo zaidi ya 64 sema wakiwa wamevaa kofia mabichwa yao ya uzee yanafichika.
Sidhani kama amefika huko. Nadhani yuko 45 to 49 hapo.Siro amevuka 55 yupo zaidi ya 64 sema wakiwa wamevaa kofia mabichwa yao ya uzee yanafichika.
HIlo neno 'kijeshi' unaelewa maana yake? Haluhusiani na polisi hivyo halifai kutumika kumuelezea polisi kwa sababu sio jeshi. Sema 'kipolisi'.
Profesa Mathew Luhanga hakuwahi kuwa Major General wala Mkuu wa Mkoa. Alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.MAJOR General Tumainel Kiwelu, Herman Lupogo, Silas Mayunga, Mathew Luhanga nk, pia hata makanali Nsa Kaisi, Anatory Tarimo nk
Sio Prof. Kaka yake alikua Major GeneralProfesa Mathew Luhanga hakuwahi kuwa Major General wala Mkuu wa Mkoa. Alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
IGP ni sawa na Mkuu wa Idara yeyote ya Serikali ama Mkurugenzi wa IdaraIGP cheo chake ni kama nani jeshini?
Huna akili wewe kapukuJF wako sahihi, mada za kijinga za watu wa chadema zinaharibu heshima ya jukwaa hili
Polisi siyo jeshi. Kujiita jeshi hakukufanyi kuwa jeshi(army)Jeshini wapi Tena kwani police sio Jeshi?
ku compare cheo cha IGP kwa jeshi ni wrong, haviko sawa, hata hivyo at one point hawez lingana na general wa tpdfPolisi siyo jeshi. Kujiita jeshi hakukufanyi kuwa jeshi(army)
Demotion.Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC?
Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya
Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro kapelekwa Kigoma kuwa Mkuu wa Mkoa.
Toa maoni yako
Umri wa Daktari Samia hautaruhusu kutekeleza hayo majukumu. Isitoshe hana njaa ya kwenda kuhangaika na watu watakaomuumiza kichwa.Kutoheshimiwa kwa itifaki na katiba ya nchi kutodhibiti mamlaka ya Urais kunasababisha kufanyika mambo kienyeji tu.Na yeye akiondoka madarakani ateuliwe kuwa DC wa Manyovu.
Kwa uelewa wangu cheo cha,IGP ni sawa na Major General jeshini. Polisi ni kama division ya jeshi hivyo anayeiongoza anakuwa,na cheo equivalent na cheo cha anayeongoza division jeshini. Vyeo vingine vya polisi vinashuka accordingly.IGP cheo chake ni kama nani jeshini?
Siro ni PoliccmNi kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC?
Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya
Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro kapelekwa Kigoma kuwa Mkuu wa Mkoa.
Toa maoni yako
Nadhani mlikaa naye akajieleza.Umri wa Daktari Samia hautaruhusu kutekeleza hayo majukumu. Isitoshe hana njaa ya kwenda kuhangaika na watu watakaomuumiza kichwa.
Wewe akili zako ni timamu kweli ?Sidhani kama amefika huko. Nadhani yuko 45 to 49 hapo.
Yaani umteue CDF kuwa RC. Hapa sio sawa. Mkuu wa bodi sawa lkn RC. Mama ashauriwe vizuri.Kwa Sirro kakosea watu wa protocol watamwambia
Tulimshauri asikubali uteuzi wowote baada ya kutoka madarakani.Nadhani mlikaa naye akajieleza.