Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoa
hidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Mtakapopelekwa ICJ mwombeni aje kuwa defence attonery wenu.Ukibananishwa na Katuga unakuwa kama piritoni...kuna serikali duniani inaua watu wake??
Unauliza au unapigia Jibu mstari?Ukibananishwa na Katuga unakuwa kama piritoni...kuna serikali duniani inaua watu wake??
Ajuza na mwanae wameshapenyeza dokezo kwa panelists.Kingai amesema yeye na wenzake hawataki kutoa ushahidi kwa sababu wanataka Lissu apatikane na hatia. Lakini hapo hapo, kwa nafasi zao, hawa ni watu muhimu sana kuonyeosha mahakamani kama kweli kulikuwa na jaribio la uhaini. Kama wanataka apatikane na hatia, ni kwa nini wanaogopa/wanaona huruma kwenda kudhihirisha mbeleya mahakama? I mean si ndiyo wangefurahi kupata hiyo nafasi ili lengo lao litimie?
Jaji ni Mwanasheria
Lisu ni Mwanasheria
Wewe ni nani?
Jaji alivyomuuliza Lisu jaji naye alijibu kuelewa. Hayo unayoyaandika hapo ni fikra yako tu isiyo rasmi
Kama majadiliano aliyoyaleta Lissu mahakamani hayajaingia kwenye rekodi mbona jaji Ndunguru alisema umeeleweka na tunafunga upelelezi.
Kwa akili yako ukienda mahakamani kumwombea ruhusa mtu ruhusa hiyo haipokelewi kwa vile mlijadiliana nje ya mahakama. Mwanasheria kanjanja.
Hii inawezekana kabisa. Kama waliweza kuua watu wote hawa na ''kushinda'' kwa asilimia karibu 98 wakati kila mtu aliona kura hazijapigwa, watashindwa nini? Ila sasa uzuri ni kwamba hukumu kama hizi kumbukumbu ya sheria inayoishi na inayoweza kuja kuleta mambo yasiyotarajiwa baadae. Hata mimi naona kuna plan ya kutumia hawa vilaza watatu kutoa hukumu wanayotaka ili tu aendelee kubaki ndani na pengine kuja kutoa ''msamaha'' ili kumwondoa kwenye harakati za siasa. Yaani naona kama kuna --->kukutwa na hatia na kuhukumiwa--->kuhujumu CHADEMA ili kuwe na maridhiano feki---->maridhino feki yatayozaa katiba mbovu kuliko hii--->mshamaha kwa mshtaki na marufuku ya kujihusisha na siasa.Ajuza na mwanae wameshapenyeza dokezo kwa panelists.
Wanajiaminisha kwa sababu wanamiliki maamuzi kwa nguvu ya Decree
Mkuu umeongea facts tupu.Hii inawezekana kabisa. Kama waliweza kuua watu wote hawa na ''kushinda'' kwa asilimia karibu 98 wakati kila mtu aliona kura hazijapigwa, watashindwa nini? Ila sasa uzuri ni kwamba hukumu kama hizi kumbukumbu ya sheria inayoishi na inayoweza kuja kuleta mambo yasiyotarajiwa baadae. Hata mimi naona kuna plan ya kutumia hawa vilaza watatu kutoa hukumu wanayotaka ili tu aendelee kubaki ndani na pengine kuja kutoa ''msamaha'' ili kumwondoa kwenye harakati za siasa. Yaani naona kama kuna --->kukutwa na hatia na kuhukumiwa--->kuhujumu CHADEMA ili kuwe na maridhiano feki---->maridhino feki yatayozaa katiba mbovu kuliko hii--->mshamaha kwa mshtaki na marufuku ya kujihusisha na siasa.
Tofauti ...heche alikuwako kizimbani na alifanyiwa Cross exam....na mahakama ili-cupture kutoka kwake kama shahidi na sio kusemewa na mtu mwingineUko sahihi ni kama upande wa serikali walipotaka kutumia maneno ya Heche alipoenda kwenye mkutano ili wayatumie kufanya cross examination wakajibiwa hayajatamkwa mahakamani
Hii inawezekana kabisa. Kama waliweza kuua watu wote hawa na ''kushinda'' kwa asilimia karibu 98 wakati kila mtu aliona kura hazijapigwa, watashindwa nini? Ila sasa uzuri ni kwamba hukumu kama hizi kumbukumbu ya sheria inayoishi na inayoweza kuja kuleta mambo yasiyotarajiwa baadae. Hata mimi naona kuna plan ya kutumia hawa vilaza watatu kutoa hukumu wanayotaka ili tu aendelee kubaki ndani na pengine kuja kutoa ''msamaha'' ili kumwondoa kwenye harakati za siasa. Yaani naona kama kuna --->kukutwa na hatia na kuhukumiwa--->kuhujumu CHADEMA ili kuwe na maridhiano feki---->maridhino feki yatayozaa katiba mbovu kuliko hii--->mshamaha kwa mshtaki na marufuku ya kujihusisha na siasa.
Umeeleweka sio lazima imaanishe kuwa tunakuamini.Kama majadiliano aliyoyaleta Lissu mahakamani hayajaingia kwenye rekodi mbona jaji Ndunguru alisema umeeleweka na tunafunga upelelezi.
Kwa akili yako ukienda mahakamani kumwombea ruhusa mtu ruhusa hiyo haipokelewi kwa vile mlijadiliana nje ya mahakama. Mwanasheria kanjanja.
Kuna kitu utakua umeruka. Siku ya mwisho ya Heche kumaliza ushahidi upande wa serikali walitaka kufanya cross tena.Tofauti ...heche alikuwako kizimbani na alifanyiwa Cross exam....na mahakama ili-cupture kutoka kwake kama shahidi na sio kusemewa na mtu mwingine
Tofauti ...heche alikuwako kizimbani na alifanyiwa Cross exam....na mahakama ili-cupture kutoka kwake kama shahidi na sio kusemewa na mtu mwingine
Mleta mada na watu wengi wa CCM na selekalini kwenye hili jambo lisu amewaacha mbali sana mkuu yaani kwa maneno mengine lisu anaakili nyingi kuliko watu wote niliowataja hapo juu kama unamkumbuka katika muendelezo wa kesi yake aliwahihi kuulizwa wakati anatoa ushahidi wake akihojiwa na mawakili wa selekali ni chombo gani cha mwisho kinachotoa haki akajibu ni mahakama ya rufani sasa kuwaita wale viongozi wakuu wa selekali alijuwa hawatokuja na hawakuja kweli maana hata ramadhani kingai kwa mujibu wa sheria hakutokea mahakamani kwa sababu yeye aliitwa na mahakama lakini kaishia kuonana na lisu akaondoka inamaana kakaidi wito wa mahakama kwaiyo tayari lisu kaishajenga msingi kama watamkuta na hatia mahakama ya rufani watatakiwa waje tuKama majadiliano aliyoyaleta Lissu mahakamani hayajaingia kwenye rekodi mbona jaji Ndunguru alisema umeeleweka na tunafunga upelelezi.
Kwa akili yako ukienda mahakamani kumwombea ruhusa mtu ruhusa hiyo haipokelewi kwa vile mlijadiliana nje ya mahakama. Mwanasheria kanjanja.
Hawakuyajaza.Kwako wewe umeelewa kwamba MAJAJI wamechukua maneno ya Lissu na kuyajaza kwenye rekodi zao❓️
Tulia wewe malaya hiyo kazi mwachie nguli la sheria Jabali lissu wewe endelea kumpikia mumeo ndio kazi yakoKuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Ndio walitaka kumhoji shahidi heche ...nà alikuwa kizimbani akiendelea na ushahidi.Kuna kitu utakua umeruka. Siku ya mwisho ya Heche kumaliza ushahidi upande wa serikali walitaka kufanya cross tena.
Isipokua safari hii ilitokana na hotuba aliyohutubia Heche jana yake usiku