Sasa huu ndo ubishi wenyewe..Jaji ni Mwanasheria
Lisu ni Mwanasheria
Wewe ni nani?
Jaji alivyomuuliza Lisu jaji naye alijibu kuelewa. Hayo unayoyaandika hapo ni fikra yako tu isiyo rasmi
Kwa hiyo na wewe unaamini Kingai alitamka maneno yale kama alivyosema Lissu?Kama majadiliano aliyoyaleta Lissu mahakamani hayajaingia kwenye rekodi mbona jaji Ndunguru alisema umeeleweka na tunafunga upelelezi.
Kwa akili yako ukienda mahakamani kumwombea ruhusa mtu ruhusa hiyo haipokelewi kwa vile mlijadiliana nje ya mahakama. Mwanasheria kanjanja.
Kuchomoka wapiMliopaniki mnaonekana jukwaani na threads zenu za kutaka kumtisha jaji au kuahadaa umma.
This time hamchomoki kwa kuwa mmekutana na wajuvi wa sheria
Nitajie Serikali duniani inayoua watu wake.uweke na ushahidi beyond reasonable doubtsMtakapopelekwa ICJ mwombeni aje kuwa defence attonery wenu.
Hana ajuacho zaidi ya kutegemea dokezo kwa Majaji. Na mmewakuta akina Nduguru ni CCM die hard followers wanaojua kucheza script wakiamini audience ni fools
Kingai alionekana mahakamani kwanini hakupanda kizimbani, kama alikuja kutoa udhuru mwendesha mashitaka angetoa taarifa.Sasa huu ndo ubishi wenyewe..
We unaamini Kingai alisema maneno yale kama alivyosema Lissu?
Majaji wataaminije maneno yale ambayo Lissu anasema kaambiwa na Kingai?
Aisee 😅😅😅Ndio walitaka kumhoji shahidi heche ...nà alikuwa kizimbani akiendelea na ushahidi.
Kingai hakupanda kizimbani na hivyo mahakama haina ushahidi wake kutoka kwenye kinywa chake kuhusu kumtetea au kutomtetea lissu.
Mahakama ina rekodi ya mshitakiwa kushindwa kuleta shahidi wake watatu alioomba waje kumalizia kumtetea.
Mahakama ina rekodi ya mshitakiwa kuhitimisha utetezi wake rasmi
Mahakama ina rekodi ya kutoa haki iliyopitiliza hadi kumsaidia mshitakiwa kuwapa summons baadhi ya mashahidi wa mshitakiwa ili asikose fursa ya kujitetea ipasavyo.
Hivi wewe jinga lao mbona ni msengemsenge sana. Halafu una roho mbaya kinyama. Hivi huo ushetani wenu mnadhani mtaishi milele?Mliopaniki mnaonekana jukwaani na threads zenu za kutaka kumtisha jaji au kuahadaa umma.
This time hamchomoki kwa kuwa mmekutana na wajuvi wa sheria
Tume ya Chande ilisema serikali iliua 518 na Samia akakiri polisi walitumia nguvu iliyostahili.Nitajie Serikali duniani inayoua watu wake.uweke na ushahidi beyond reasonable doubts
Nami nimekupata vyemaAisee 😅😅😅
Wewe jamaa mgumu kuelewa. Majibu ya jaji yalikua kwamba maneno ya Heche ya hiyo hotuba yalikua nje ya mahakama.
Kingai na Lisu stori zao zilipigwa nje ya mahakama pia kwahiyo nakubaliana na wewe unavyodai kwamba ripoti ya Lisu haina impact.
Nakubaliana na wewe kwakua ni stori walipiga nje ya mahakama.
Ni wapi tume ya Chande ilisema Serikali imeua??Tume ya Chande ilisema serikali iliua 518 na Samia akakiri polisi walitumia nguvu iliyostahili.
Mahakama haina statements au viapo vya mashahidi kukataa zaidi ya taarifa za mshitakiwa mwenyewe.mshitakiwa alitaja mashahidi wake akawaita na akaomba kuwaandaa halafu mwisho wa siku maandalizi na makubaliano yao yakashindikana na mshitakiwa akaja kuijuza mahakama kuwa anafunga utetezi wake.Statement ya msingi ni ile kuwa amekataa na hata mkuu wa majeshi amekataa.Majaji wameshatake note kuwa hao watatu wamekataa.Kesi imekufa kwenye jicho la sheria labda kupitia mlango wa nyuma
Simple logic.Sasa huu ndo ubishi wenyewe..
We unaamini Kingai alisema maneno yale kama alivyosema Lissu?
Majaji wataaminije maneno yale ambayo Lissu anasema kaambiwa na Kingai?
Rais alisema polisi walikuwa sahihi kuua, au polisi sio wa serikali au ni wa Mwaipopo.Ni wapi tume ya Chande ilisema Serikali imeua??
Unaelewa maana ya kuundwa kwa tume hii ya sasa baada ya matokeo ya Tume ya chande?
Itabidi humu jamvini tuwe tunawekq mtihani wa usaili kabla ya kujiunga na Jamvi hili,.
Unayo hiyo clip?
Wewe ni mtanzania?unaelewa kiswahili .....??umesikia kilichotamkwa?View attachment 3673784
Unafikiri aliposema 'nguvu tuliyoitumia' yeye ndiye alikuwa mitaani akipigana mieleka, kama siyo vyombo vya dola ni kitu gani.
Hawana uwezo wa kuiona angle hiyo,wao wanaamini madereva boda boda ndiyo wanaweza kutoa ushahidi wa kumfanya Mh.Lissu anyongwe na siyo DCI,IGP au cdf.Kingai amesema yeye na wenzake hawataki kutoa ushahidi kwa sababu wanataka Lissu apatikane na hatia. Lakini hapo hapo, kwa nafasi zao, hawa ni watu muhimu sana kuonyeosha mahakamani kama kweli kulikuwa na jaribio la uhaini. Kama wanataka apatikane na hatia, ni kwa nini wanaogopa/wanaona huruma kwenda kudhihirisha mbeleya mahakama? I mean si ndiyo wangefurahi kupata hiyo nafasi ili lengo lao litimie?