Majadiliano kati ya Lissu na shahidi wake hayawezi kuwa sehemu ya ushahidi mahakamani

Kama siyo sehemu ya rekodi za mahakama na hayakupokelewa kwahiyo tuendelee kusubiri CDF na IGP watakuja kutoa ushahidi.

Hivi logic yako ni ipi hasa.
Unasubiria nini wakati mshitakiwa kashasema amefunga ushahidi??
Leo ndio nimeamini kuwa Serikali ina kazi kubwa ya kuondoa Ujinga,maradhi na umasikini
 
Mimi nilikuwa na Muddy tunajitafunia mabikra wetu 70 babu, siishi huko mnakopiga kura za uongo. Nasikia hata Kikwete siku si nyingi anakuja kuchakata wa kwake alioandaliwa.
 
Kati ya nyumbu na wewe nani nyumbu? Huyo aliyekatqliwa kwa nini asiseme mbele ya jaji kwamba lisu kanikataa?
 
Nonsense!
 
Simple logic.

Hivi majaji na makimu huwa wanaamini vipi maneno ya mashahidi, walimwamini vipi Yeriko aliyekuwa kwenye kibanda cha njiwa kuwa alikuwa anasema kweli.
Kwa hiyo kwa akili yako waamini kabisa Kingai alisema alivyosema Lissu?
 
Hivi wewe jinga lao mbona ni msengemsenge sana. Halafu una roho mbaya kinyama. Hivi huo ushetani wenu mnadhani mtaishi milele?
Matusi ya nini?
 
Hawana uwezo wa kuiona angle hiyo,wao wanaamini madereva boda boda ndiyo wanaweza kutoa ushahidi wa kumfanya Mh.Lissu anyongwe na siyo DCI,IGP au cdf.
Endelea kumdharau "bodaboda"
 

Hoja ina pande mbili,mbona wewe unaangaliq upande mmoja tu? Huuoni utovu wa nidhamu wa kingai kuidharau mahakama? Aliitwa na mahakama na siyo Lissu, hivyo alitakiwa apande kizimbani na kuyatamka maneno aliyomtamkia Lissu baada ya kuonana naye. Hakufanya hivyo na mahakama itatafsiri kama dharau kwao. Hili hulioni bali umegandisha ubongo wako eneo moja.
Nakuhakikishia kuwa kama hawa majaji wataongozwa na sheria na kanuni za mahakama Lissu atakuwa huru mapema kabla ya mwezi huu kwisha.
 
Mtiririko wako TU inaonyesha ulivyo kilaza wa Taifa.

Kama ni mwanasheria mrudishie baba yako school fees.

Kila alichoongea mshitakiwa kinakuwa recorded sio off record
 
Aliitwa kukutana na Lissu akafanya hivyo na baada ya hapo lissu akaijuza mahakama hana mpango wa kuendelea na mashahidi wake watatu.
Usidhani mahakama ni Jinga kiasi hiko brother
 
Hawa kina Kingai walitajwa na mshtakiwa kama mashahidi wake upande wa utetezi.

Ila Sasa wamegoma kumtetea hawataki kuwa upande wa utetezi ila walitaka wawe upande wa mashitaka Ili kuthibitisha Lissu ni haini Ili ahukumiwe.
 
Tuchukulie hilo unalosema ni sahihi, kwamba maneno yote ya Lissu ikiwemo kumsemea Kingai kuwa hawezi kuwa shahidi ni batili na hayajaingia kwenye rekodi. Kwa maana nyingine hakuna rekodi inayoonyesha mashahidi wale watatu walifika mahakamani. Swali linakuja, Mahakama ilichukua hatua gani baada ya shahidi aliyetumiwa summons kushindwa kufika mahakamani?
 
Acha kuspin na kujiondoa ufahamu...lisu aliwasilisha kwa ufasaha kabisa kwamba hatoweza kuendelea na mashahidi wake na alifunga ushahidi.mahakama ilimtaka lissu kuendelea kujitetea na sio kutafuta ufafanuzi wa lolote lile.
 
Acha kuspin na kujiondoa ufahamu...lisu aliwasilisha kwa ufasaha kabisa kwamba hatoweza kuendelea na mashahidi wake na alifunga ushahidi.mahakama ilimtaka lissu kuendelea kujitetea na sio kutafuta ufafanuzi wa lolote lile.
Hakuna anayepinga kuwa Lissu alifunga ushahidi ila alifanya hivyo baada ya kueleza kuwa shahidi kukataa kutokea mbele ya majaji.

Watu kila siku wanaongelea kuweka "kumbukumbu za rejea". Kilichotokea haimaanishi kuwa mbele ya safari siyo tu shahidi anaweza kugoma kufika mahakamani bali anaweza hata kutuma mtu mwingine akatoa taarifa tu kwenye viunga vya mahakama, tena siyo mbele ya majaji kuwa hajiiii? Hivi hamuoni jinsi Lissu anavyowa prove kwamba NRNE ilikuwa na umuhimu kwa matendo haya?
 
Jinga lao , kwa akili yako na wewe uliamini Kingai, Mkunda na Wambura watakubali kupanda kizimbani kuhojiwa na Lissu?

Uwezo wa hao watu mbona unajulikana na ni kutokana na ubovu wa mifumo yetu ndio maana top offices zimejaa "mediocres" .

Kwa mfano leo uniambie mwaka jana kama kungekua na uchaguzi ikaandaliwa presidential debate Samia angehudhuria?

Angeweza kujibu maswali ya papo kwa papo ambayo sio scripted na hasomi popote?

Usishangae watu wanajenga ICD zinazosababisha traffic jam hapo mjini halafu tena zimekamilika na traffic jam imekua kubwa ndio anaibuka mtu kutaka kutafuta shortcut , kwani wakati zinajengwa walikua hawajui plan ya mji na muelekeo wa gari hizo ?
 
Lissu angetetewa na mawakili wengine asingetoboa katika kesi hiyo. Hawa Watanzania njaa na vibaraka wametapakaa kila sekta. Linapokuja suala la haki au uhai wako, usimuamini Mtanzania yoyote yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…