Lisu hakueleza kuwa shahidi kingai alikataa kutokea mbele ya mahakama...iweke statement yake correctly!!Hakuna anayepinga kuwa Lissu alifunga ushahidi ila alifanya hivyo baada ya kueleza kuwa shahidi kukataa kutokea mbele ya majaji.
Watu kila siku wanaongelea kuweka "kumbukumbu za rejea". Kilichotokea haimaanishi kuwa mbele ya safari siyo tu shahidi anaweza kugoma kufika mahakamani bali anaweza hata kutuma mtu mwingine akatoa taarifa tu kwenye viunga vya mahakama, tena siyo mbele ya majaji kuwa hajiiii? Hivi hamuoni jinsi Lissu anavyowa prove kwamba NRNE ilikuwa na umuhimu kwa matendo haya?
Kingai aliitikia wito wa mahakama lakini hawakukubaliana na lisu kuhusu kutoa ushahidi wa kumtetea...hii ni fact ambayo haiwezi kuwa skipped kama mnavyopendelea iweJinga lao , kwa akili yako na wewe uliamini Kingai, Mkunda na Wambura watakubali kupanda kizimbani kuhojiwa na Lissu?
Uwezo wa hao watu mbona unajulikana na ni kutokana na ubovu wa mifumo yetu ndio maana top offices zimejaa "mediocres" .
Kwa mfano leo uniambie mwaka jana kama kungekua na uchaguzi ikaandaliwa presidential debate Samia angehudhuria?
Angeweza kujibu maswali ya papo kwa papo ambayo sio scripted na hasomi popote?
Usishangae watu wanajenga ICD zinazosababisha traffic jam hapo mjini halafu tena zimekamilika na traffic jam imekua kubwa ndio anaibuka mtu kutaka kutafuta shortcut , kwani wakati zinajengwa walikua hawajui plan ya mji na muelekeo wa gari hizo ?
Katika hao "baadhi yetu", weka ushahidi wa mmoja tuu anayepotosha umma "eti majadiliano kati ya lissu (Lissu) na shahidi aliyemtaka amtetee....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi".Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Kama Kingai hakutaka kuwa shahidi wa Lissu, kwa nini alifika kwenye mahakama!!??Sasa kwenye criminal psychology tuliwahi kufundishwa kwamba mtu aliyetenda kosa akikamatwa hua anarelax kwakua anaona mwisho wake umefika.
Anakua hana haja ya kupambana kujiokoa kwasababu anaona haina haja facts zote zipo mezani. This explains kwanini hata wauaji wanapokua wanapelekwa kutumikia adhabu yakifo hua wanakua watulivu.
Lakini hiyo observation siyo sahihi kwa 100%
Sasa ni kivipi Lisu anajua hukumu ya kosa aliloshtakiwa nalo lakini anaridhika kwamba shahidi kagoma na kasema hata wenzake wawili hawatokuja?
Like ameridhika kunyongwa? No way.
Ninarudia tena kusema shahidi alienda kumpelekea ujumbe Lisu na kufikia makubaliano. Hakuna kingine hapo.
Kuna mtu nimemuuliza,Kingai aliitwa na Lissu au na mahakama!!??Hoja ina pande mbili,mbona wewe unaangaliq upande mmoja tu? Huuoni utovu wa nidhamu wa kingai kuidharau mahakama? Aliitwa na mahakama na siyo Lissu, hivyo alitakiwa apande kizimbani na kuyatamka maneno aliyomtamkia Lissu baada ya kuonana naye. Hakufanya hivyo na mahakama itatafsiri kama dharau kwao. Hili hulioni bali umegandisha ubongo wako eneo moja.
Nakuhakikishia kuwa kama hawa majaji wataongozwa na sheria na kanuni za mahakama Lissu atakuwa huru mapema kabla ya mwezi huu kwisha.
Wajuvi wa sheria to hell.Mliopaniki mnaonekana jukwaani na threads zenu za kutaka kumtisha jaji au kuahadaa umma.
This time hamchomoki kwa kuwa mmekutana na wajuvi wa sheria
Kwa hiyo Kingai na wenzake wamekuuka wito wa Mahakama? Maana mshitakiwa ametoa taarifa Mahakamani kuhsu yale waliyoyaongea na Shahidi.Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Labda lakini ingeenda vizuri kuliko ilivyokuwa. Unapojitetea mwenyewe unakuwa hauoni picha kubwa. Mawakili wengine wasingekuwa emotional, focus yao yote ni kuhakikisha tuhuma zote zinajibiwa. Aidha, si mawakili wote wenye uwezo wa kuhoji mashahidi. Kibatala ni mzuri zaidi ya Lissu kwenye hilo. Nahisi, angekuwa Kibatala DCI asingekuja hata Mahakamani.Lissu angetetewa na mawakili wengine asingetoboa katika kesi hiyo. Hawa Watanzania njaa na vibaraka wametapakaa kila sekta. Linapokuja suala la haki au uhai wako, usimuamini Mtanzania yoyote yule.
Hapa ndipo Lissu alishangaza. Hivi alitegemea Kingai atakubali kumtetea? Nilidhani nia ilikuwa ni kumlazimisha Kingai aseme ukweli kuhusu matukio mbele ya Mahakama. Angekula kiapo kusema ukweli. Aidha, ushahidi sio maneno tu. Hata body language yako inasaidia kuonyesha ukweli au uongo wa unayo yasema.Kingai aliitikia wito wa mahakama lakini hawakukubaliana na lisu kuhusu kutoa ushahidi wa kumtetea...hii ni fact ambayo haiwezi kuwa skipped kama mnavyopendelea iwe
Nilitarajia Lissu angetoa yale maelezo lakini kabla ya kufunga ushahidi upande wake angeomba mahakama impe utaratibu!Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Kwani mimi nimesema Lissu alieleza kuwa shahidi kingai alikataa kutokea mbele ya mahakama?Lisu hakueleza kuwa shahidi kingai alikataa kutokea mbele ya mahakama...iweke statement yake correctly!!
Kwani DCI alikuja mahakamani?Labda lakini ingeenda vizuri kuliko ilivyokuwa. Unapojitetea mwenyewe unakuwa hauoni picha kubwa. Mawakili wengine wasingekuwa emotional, focus yao yote ni kuhakikisha tuhuma zote zinajibiwa. Aidha, si mawakili wote wenye uwezo wa kuhoji mashahidi. Kibatala ni mzuri zaidi ya Lissu kwenye hilo. Nahisi, angekuwa Kibatala DCI asingekuja hata Mahakamani.
Kwa maoni yangu utetezi wa Lissu ulikosa focus na ulikuwa performative zaidi.
Amandla...
Lissu alisema kuwa alifika Mahakamani na aliongea na Lissu kwenye ukumbi wa Mahakama.Kwani DCI alikuja mahakamani?
Kuweko kwenye rekodi ya Mahakama hakumsaidii kitu. Labda ungesema kuwa lengo lilikuwa ni Mahakama ya jamii. Huku atapata sympathy.Utetezi wa Lissu ulikuwa kwa ajili ya "to get the job done" na wakati huo huo kuaddress na kuyaweka kwenye rekodi za kimahakama matukio muhimu ya kisiasa. Kama in the process alikuwa performative, it's well and good.
Kwa nini atofautiane nao? Strategy ingepangwa kwa pamoja. Labda kama angeona kuwa Kibatala anachukua umaarufu wake. Hilo lingekuwa ni tatizo la ego na sio weledi.Lissu angeanza na hao kina Kibatala, at some point angetofautiana nao na ingebidi awapige chini na ingevuruga flow ya utetezi wake. Ila usisahau wanasheria alikuwa nao wa kumshauri kwa hiyo hiyo big picture walikuwa na nafasi ya kumchorea.
Sasa wewe unadhani mazingira ambayo DCI aliongea na Lissu yangemtisha kuja kama Kibatala angekupewo? Yaani maneno ambayo Kingai amemtamkia Lissu angeshindwa kuyatamka mbele ya Kibatala?Lissu alisema kuwa alifika Mahakamani na aliongea na Lissu kwenye ukumbi wa Mahakama.
Kuweko kwenye rekodi ya Mahakama hakumsaidii kitu. Labda ungesema kuwa lengo lilikuwa ni Mahakama ya jamii. Huku atapata sympathy.
Kwa nini atofautiane nao? Strategy ingepangwa kwa pamoja. Labda kama angeona kuwa Kibatala anachukua umaarufu wake. Hilo lingekuwa ni tatizo la ego na sio weledi.
Ushauri wao ulikuwa limited na mazingira ya kuwa lead consul yuko ndani.
Ingekuwa lead consul ni Kibatala angekuwa huru zaidi ku strategise, kufanya utafiti n.k. Utafiti ni muhimu sana katika kesi kama hii. Sidhani kama Rumande kuna Maktaba au access kubwa ya Internet.
Amandla...
DCI aliitwa na Mahakama, sio Lissu. Kingai ameisha hojiwa na Kibatala. Kuna tofauti kati ya kumtamkia maneno Lissu na ya kuyatamka baada ya kula kiapo mbele ya majaji. Yanaingia katika rekodi ya Mahakama wakati taarifa ya Lissu kuhusu maneno hayo ni hearsay. DCI anaweza kuyakana siku yeyote. Na ukiwa Mahakamani ukikataa kujibu, unaweza kulazimishwa na Jaji. Ni vitu tofauti kabisa. Ndio maana nimeshangaa Lissu kunyanyua mikono mapema hivyo.Sasa wewe unadhani mazingira ambayo DCI aliongea na Lissu yangemtisha kuja kama Kibatala angekupewo? Yaani maneno ambayo Kingai amemtamkia Lissu angeshindwa kuyatamka mbele ya Kibatala?
Rekodi rasmi ya Mahakama inatumika Mahakamani. Lissu kusema kuwa nolifanyiwa hili na hili bila ushahidi linafanya rekodi hiyo iwe batili.Umuhimu wa matukio hayo kuingia kwenye rekodi rasmi unakuja pale unapogundua hii ni kesi ya kisiasa. Matukio mengi yaliyosemwa mahakamani hata kwenye vyombo vya habari hayajawahi kuripotiwa au kutamkwa. Hapa hatuongelei kuonewa huruma.
Lissu ndiye anayeshitakiwa na ana haki zote kuchagua njia ya utetezi ambayo yuko comfortable nayo zaidi. Hata mimi kwa ninavyoona vibaraka wamemzunguka huku wengine wakiwa na roho nyepesi na kununulika kirahisi, ningekuwa position yake ningeona bora nijitetee mwenyewe.
Tanzania: Kabla na baada ya Oktoba 29 2025. Ali Kibao naye ni ushahidi tosha. Ben Saanane, Mdude Nyangali, Kaswahili, Dioniz Kipanya, Deusodedit Soka, Polepole, Bernad Chaula, na wengine maelfu kama siyo malaki.Nitajie Serikali duniani inayoua watu wake.uweke na ushahidi beyond reasonable doubts