Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Basi ungeandika heading inayoashiria kuwa kinachojaribiwa ni infrastructures ambazo zinabeba hicho kinachotembea kwenye hizo infrastructures..!!Kinachofanyiwa majaribio ni njia ya reli, mifumo yake (umeme, mawasiliano n.k), namna ya uendeshaji 'operations' n.k
Huitaji kujaribu treni yenyewe, sababu treni yenyewe hujaribiwa na watengenezaji...
Nikuulize tu swali moja, wewe kabla ya kununua gari Japan au kwingineko, huwa unapewa ulijaribu?
cc Ngalikihinja
Mnapenda sana kutupaka shombo watu wa Mbokamanyema.[emoji23][emoji23][emoji23]Itapendeza kama umeme hautakuwa wa luku....
Nikija Dar, natumai itakuwa tayari niipande mpaka Kigoma nikumbUKE nostalgia ya reli ya kati miaka ileeeee...una safiri na waranti yaa uanafunzi...
Nipite Morogoro, kutoka Moro mpaka Kilosa ni viunga vya misitu ya Uluguru ya ukijani na ukungu wa kutosha, mara tunaingia Kilosa, hatukai sana tunaitafuta Kongwa, mara Dom hii hapa, nishuke niende Wimpy's nikapate msosi, nirudi na kushushia karanga za kuchemsha, tuitafute Manyoni, sijui yale marashi na sabuni za ulaya walikuwa wanatoa wapi wale wauzaji wa Manyoni, mara Honi ya treni ikilia unaliacha liaanze kuondoka ili ulikimbize na kudandia na ujione VanDamme, hapo tunaitafuta Itigi ni Mandhari ya kutosha huku umechungungulia dirisha maeneo ya mlangoni, na nakumbuka ikifika Tabora, unatakiwa uwe macho juu na mizigo yako maana hapo ni wezi wako juu ya treni inaeenda wananing'inia na kuchomoa mabegi,
aaahh naona hivyo vituo nimechanganya madawa....nitarudi nikiwa sober...
Hii chombo inatembea asee acha utani, haiwezi kuwepo hapa kwetu hata kidogo.Treni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Mbona mnabishana na wakati, wakati ndio msema kweli wacha tuone ikiwa operational vinakuja vichwa vya aina gani.Kinachofanyiwa majaribio ni njia ya reli, mifumo yake (umeme, mawasiliano n.k), namna ya uendeshaji 'operations' n.k
Huitaji kujaribu treni yenyewe, sababu treni yenyewe hujaribiwa na watengenezaji...
Nikuulize tu swali moja, wewe kabla ya kununua gari Japan au kwingineko, huwa unapewa ulijaribu?
cc Ngalikihinja
Usije kuta we ndo mbumbumbu, huenda ameandika jokes we unakurupukaSikujua kama JF home great thinkers ina host mambumbumbu kiasi hiki, ishakuwa sasa facebook hii, simu unayo bando unalo basi google taarifa hizo, google hata ujue majaribio huwaje acha kutusumbua
Weka majibu hapa
Sikujua kama JF home great thinkers ina host mambumbumbu kiasi hiki, ishakuwa sasa facebook hii, simu unayo bando unalo basi google taarifa hizo, google hata ujue majaribio huwaje acha kutusumbua
Hakuna kupigwa. Hicho kichwa ndicho sahihi kwa speed ya 160km/hr labda waongeze nakshi tu.Hii ndio iliyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivyo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakatiView attachment 2279510
574.8 km/h dar hadi moro ,moro hadi dar ndani ya "lisaa limoja"Treni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Engine kama engine uwezi kuiweka kwenye reli ikavuta mabehewa ya abiria au mizigo, engine inawekwa kwenye super structure ya Locomotive hicho ndicho kinaitwa kichwa cha Train -hivyo alive sema ni kichwa cha Train yuko sahihi kabisa. Kitu kingine,kwenye vichwa vya train za umeme havina engine, kuna traction motors na speed control systems, basi.Kichwa ndiyo nini? Sema*engine"
Mambo mengine mnalazimisha bure
By the way, hicho kichwa kinachooneka kinazijaribu hizo infrastructures ndo chenyewe kitakachotumika wakati ukifika?
Chukulia wew ndio dereva wa hiyo treni na ndio mara ta kwanza unafanya majaribio, ungetembea speed ngapTreni ya umeme kwa nchi za wenzetu mbona zinaenda kasi kwetu kuna nini ebu chekini hii ya wenzetu huko nga'mboView attachment 2279512
Nimependa jibu lako huko juu katika mistari miwili ya mwanzo; lakini swali ulilouliza kwenye huo mstari wa tatu hauhusiani kabisa na kinachojadiliwa hapa.Kinachofanyiwa majaribio ni njia ya reli, mifumo yake (umeme, mawasiliano n.k), namna ya uendeshaji 'operations' n.k
Huitaji kujaribu treni yenyewe, sababu treni yenyewe hujaribiwa na watengenezaji...
Nikuulize tu swali moja, wewe kabla ya kununua gari Japan au kwingineko, huwa unapewa ulijaribu?
cc Ngalikihinja
Spidi inayoendana na viwango vinavyotarajiwa kwa treni hiyo; kwani hili nalo ni gumu kueleweka?Chukulia wew ndio dereva wa hiyo treni na ndio mara ta kwanza unafanya majaribio, ungetembea speed ngap
mwalimu wako alipatashida sanaKwa hiyo unajaribia ambacho hakitatumika?
unaakili sana mwambaKila kitu hatua