Majasusi wa Tanzania fungueni macho. Teueni watu wenye uwezo sio kwa kujuana

Hata jeshini nafikiri huu mtindo wa kuchukua watoto wa ndugu hata Kama Ni ,...........haufai,itafika kipindi uzalendo utaisha kuwe na fairness
 
Hao ndio usiwatarajie kabisa
 
kajifunze kuandika kuna mengi huyajui unakaza fuvu jpm wa nini tuongelee yaliopo marehemu bado anawalamba matako mpka leo
 
V
Extremely poor minded!
 
Wenye mamlaka ya uteuzi wa viongozi ni KAMATI YA CC ya CCM .majasusi hawana kazi hiyo.
 
Tusingekuwa na hili shetani linaloitwa CCM, huenda hii nchi mpaka sasa ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ya maendeleo kama ilivyo kwa Singapore, South Korea, nk!

Duh...!. Kitendo cha malaika kumuita shetani, hakikubaliki, ila hata shetani, mwanzo alikuwa malaika!.
Katika kuelimishana tuu, hebu tusaidie Watanzania, tukiamua na kujiridhisha, kuwa kweli CCM ni shetani, jee kati ya waliopo, tumchague nani ambaye ni malaika ai replace CCM?.
P
 
Na hili linatugharimu sana Tz, wanateuliwa watu wzsio na tija kwa Taifa badala yake wanakuwa madarakani kulinda na kutetea maslahi ya wale waliopendekeza wao kuteuliwa na mifano hai mnaiona hata kwa baadhi ya mawaziri.
 
Hiki chama mwanzoni kilitoka kwa Mungu ila sasa naona kiko na yule "aliye kinyume" na Mungu ndio maana tumefikia ktk ouvu mkubwa sana!
 
Umeanza vizuri sana mkuu. Tena sana. Ila ulipofika kwa Lissu nimeacha kusoma sijui kwanini.

Usalama wa Taifa wa nchi wako vizuri sana. Kuna incident kadhaa niliwahi kuzi scrutinize na nikasema isingekua system kuwa imara tusingetoboa. Sikatai wapo waliopachikwa kiundugu ila wamo
Pia wenye uweledi na kuna ambao wanafanya kazi vizuri tu.

Mfano mzuri tu ambao watakaosoma huu uzi watajifunza kitu ni kwamba usije ukathubutu ku sabotage nchi hii ndo utajua hao usalama ni lelemama au ngangari. Yani fanya uhuni wote unaoweza, ruka ruka wee ila ukigusa interest za taifa trust me they are watching you.
 
Umetumia akili nyingi sana kutoa ushauri mzuri sana kwa thinktank wa nchi ywtu.

Wait a monite.
Hao unaowaambia nap wengi wamejazana humo ni matokeo ya KAMLETE. Haufahamiki, baba yako hafahamiki utabaki kuwa mkulima na mfanyakazi.

Nchi inahitaji kuwa na core ambayo ni pure haitikisiki na haina bias wao lao ni moja tu yaani NCHI.

Chama kinatumia intellejensia ya nchi kama ya kwake hatutaweza kupiga hatua na huu utamaduni wa biasness
 
Yaani interest za kuhakikisha ccm inabakia madarakani kwa namna yoyote ile! ndiyo zimegeuka sasa na kuwa interest za Taifa!! Ok. Maana kwangu mimi ninaamini hicho ndicho kitu pekee kinachopiganiwa na hao watu siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…