Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio usiwatarajie kabisaTukitawaliwa kwa AMRI moja Kutoka kambini Kwa 2 yrs itatosha kujenga backbone vizuri.
Tutaweza kufuta mikataba yote iloingiwa kihuni na viongozi madalali.
Tutaweza kuondoa Kwa kiasi kikubwa mapandikizi ktk idara na nafasi mbalimbali nyeti.
Ameeeen.
kajifunze kuandika kuna mengi huyajui unakaza fuvu jpm wa nini tuongelee yaliopo marehemu bado anawalamba matako mpka leoRubiss. Mama Samia ni zaidi ya rais. Subiri uone anavyoipaisha nchi kiuchumi. Sasa hivi tu hata mwaka hajamaliza ajira zimemwagwa kila Kona na kila sector. Jpm ajira zote alizimute kwa sababu alikuwa haelewi aanzie wapi aishie wapi akabaki anshikilia mabarabara tu ili angarau apate Cha kusema
Unajiuliza waliotaka kutuingizia mashoga jeshini (jkt) wanalengo gani?Hata jeshini nafikiri huu mtindo wa kuchukua watoto wa ndugu hata Kama Ni ,...........haufai,itafika kipindi uzalendo utaisha kuwe na fairness
Extremely poor minded!Rubiss. Mama Samia ni zaidi ya rais. Subiri uone anavyoipaisha nchi kiuchumi. Sasa hivi tu hata mwaka hajamaliza ajira zimemwagwa kila Kona na kila sector. Jpm ajira zote alizimute kwa sababu alikuwa haelewi aanzie wapi aishie wapi akabaki anshikilia mabarabara tu ili angarau apate Cha kusema
Aisee.... Hawatutakii memaUnajiuliza waliotaka kutuingizia mashoga jeshini (jkt) wanalengo gani?
Wengi humo hamna kitu kichwani zaidi ya kusifia na kuimba mapambio ya kumsifu mwenyekitiUna maana wale wanaochukuliwa kutoka UV CCM
Alivokupuna kale kamshiko sio!?Nikiona mada kama hizi namkumbuka jamaa wa ikulu
Ndio bhan ila hakunipuna peke yangu alimpuna na RPC mmoja hivi ambae amestafu mwezi wa nane alitaka mwanae awe kaunda sutiAlivokupuna kale kamshiko sio!?
Tusingekuwa na hili shetani linaloitwa CCM, huenda hii nchi mpaka sasa ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ya maendeleo kama ilivyo kwa Singapore, South Korea, nk!
Hiki chama mwanzoni kilitoka kwa Mungu ila sasa naona kiko na yule "aliye kinyume" na Mungu ndio maana tumefikia ktk ouvu mkubwa sana!Tusingekuwa na hili shetani linaloitwa CCM, huenda hii nchi mpaka sasa ingekuwa imepiga hatua kubwa sana ya maendeleo kama ilivyo kwa Singapore, South Korea, nk!
Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Ccm imepewa kipaumbele kuliko wananchi na Taifa lao.
Huwaga najiuliza kama tunao majasusi wa kiuchumi!?Tanzania hamna majasusi, kuna makada tu wa chama ambao wamepewa majukumu makubwa na magumu kuliko uwezo wao ndio maana hata walishindwa kuzuia kiwanda cha General Tyers kisiibiwe na Wakenya
Umeanza vizuri sana mkuu. Tena sana. Ila ulipofika kwa Lissu nimeacha kusoma sijui kwanini.Nimekaa na kutafakari na hii hali inavyo enda jambo moja limenijia nikuwakumbuka mashujaa wetu ktk tansinia ya usalama wa taifa.
Neno au wazo limenijia nikuwaambia macho yenu yafunguweni tena yafunguweni vizuri.
Mchwa sio mdudu mzuri. Anakula chini kisha anaibuka juu unapo muona amesha maliza kazi.
Ndoto yangu inasema mchwaa ako chini ya mihimili ya meza kitu kitawashituwa nakujuwa meza imeshaliwa siku pakiwekwa kitu kizito meza ita anguka.
Wazee andaeni watu wenye brain ktk maeneo nyeti ya taifa, msiangalie mtoto wa nani andaeni vichwa tunaenda kuangushiwa kitu kizito kama hatutojindaa jirani wameshaujuwa mchezo pia wazungu wameshajuwa mchezo na wanaucheza hapa kwenye ardhi yetu.
Narudia tena andaeni watu narudia tena andaeni watu. Narudia tena andaeni watu fanyeni alichokifanya hayati baba wa Taifa ndugu zangu Hayati alitafuta vichwa akavipeleka shule akavipa nafasi ndugu zangu huko duniani hawaangali mtoto wa nani wanatafuta brain unapo ona Bush Baba na mtoto wanakuwa Marais yaani sio mchezo huyu mzee alikuwa na brain na mtoto pia na wote wamenusurika kufa vitani. Angalia mataifa yenye uwezo wa ajabu kama Israel yani hawa jamaa hujafanya mission yeyote kwa ajili ya taifa lao huna nafasi yani hawa jamaa ni wanachaguwa elite unapo muona Mtu kama Benjamin Netanyauh sio kiumbe cha kawaida yani yule kwanza ni genius pia nikomando and last is among Israel Elite group... Ni ninsi gani tuna andaa watu kwa ajili ya kesho nikiza kinene God help us. Maana ni mwendo wa mtoto wa dada, shangaz, wakwe marafiki na makada. Ndugu zangu we will failed acheni ukada acheni ujomba na ubinamu tuchaguwe viongozi who are elite, achen habari ya gender chaguweni vichwa vilivyo simama. Taifa hili lenye zaid ya ++900k m sq ardhi tusipo kuwa makini tutaumiza vizazi vijavyo.
Ndugu zangu hii mchezo inataka kushika kasi baba anamuingiza mtoto na mtoto anakuwa brain ndogo anabebwa nataka kuwaambia italiacha taifa likicheka chooni mtu kama Lissu niwakumpa high position asaidie taifa hata kama ana ubaya gani maana kile kichwa sio chakawaida.
Nimetoa mfano. Taasisi za vyama ziwe na uhuru kuwafanya wenye uwezo na brain kupata urais jamani leo tumpate Rais kama Prof Muhongo hivi tutakuwa wapi as a nation.
Waziri mkuu awe Mzee Prof Issa Shivji italiwaje hili taifa waziri wa ulinzi tunamchukua jasusi ndani ya jeshi ndio waziri wa ulinzi sasa chezeni na gender wenzenu wanajenga nchi imara gender wameweka pembeni na wanajuwa siri nyuma ya gender. Mataifa makubwa na yenye chumi imara haya gender take from me. Na ukitaka proof angalia China, Marekani, Brazil, France, Singapore nk.
Tunafanya masihara ila tuwe makini. Nimemaliza
Umetumia akili nyingi sana kutoa ushauri mzuri sana kwa thinktank wa nchi ywtu.Nimekaa na kutafakari na hii hali inavyo enda jambo moja limenijia nikuwakumbuka mashujaa wetu ktk tansinia ya usalama wa taifa.

Yaani interest za kuhakikisha ccm inabakia madarakani kwa namna yoyote ile! ndiyo zimegeuka sasa na kuwa interest za Taifa!! Ok. Maana kwangu mimi ninaamini hicho ndicho kitu pekee kinachopiganiwa na hao watu siku zote.Mfano mzuri tu ambao watakaosoma huu uzi watajifunza kitu ni kwamba usije ukathubutu ku sabotage nchi hii ndo utajua hao usalama ni lelemama au ngangari. Yani fanya uhuni wote unaoweza, ruka ruka wee ila ukigusa interest za taifa trust me they are watching you.