Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

Sidhni kama hamas wajinga kiasi hicho kwamba hawana plan B
 
kwanza hapo ni kwasababu tu wanajua kuna mateka wao humo kwenye mashimo, isingekuwa hivyow angeshafanya kile marekani ilifanya mapango ya tolabora taliban, walipiga sumu mchezo ukaisha.wameachwa chini kuwa chakula cha mchwa.
Mwisho wa siku wameshindwa na Taleban wako live.
 
Hamas Wana askari Malaki!?..we mlokole eeh!?..maana walokole akili hawana
 
Condition mojawapo ya netanyahu ni Hamas waachie mateka wote ndiyo Vita visimame,ukiwa Kama msemaji wa netanyahu, conditions zimebadilika!?
Saizi hamasi wanataka israel isimamishe vita ndiyo wawape mateka,
 
Condition mojawapo ya netanyahu ni Hamas waachie mateka wote ndiyo Vita visimame,ukiwa Kama msemaji wa netanyahu, conditions zimebadilika!?
Mkuu; conditions za Netanyahu ni mbili tuu tena very simple: HAMAS 1.wawaachie mateka wote bila masharti na 2. HAMAS wote wajisalimishe na silaha zao. Full stop.
Tofauti na hapo "Simba wa Yuda" atawabariki wote na silaha zao kwa cheche za moto mkali.
 
Hii vita itakuja kujirudia miaka ijayo Mzee .. bado IPO mioyoni mwa watu
 
Ilisemekana mtandao wa mahandaki Gaza ni kama kilomita 300 hivi ambazo ni nyingi kuliko eneo la Gaza!

Tafsiri yake hayo mahandaki yamepinda pinda! Je, tuna uhakika hayo mahandaki mengine hayajatokezea maeneo mengine mbali na Gaza mfano Lebabon kwa Hezbolah ambapo hao askari wa Hamas wakiona wameelemewa wanakimbilia huko, au wote walikuwa wamejificha kwenye mahandaki?

Hivi wale mateka wapo wapi kwa sasa?
 
Hao jamaa wanalishwa tu maneno hata haelewi anachoandika. Eti drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…