Majeshi na Mainjinia wa Israel wakibomoa mahandaki na miundo mbinu ya Hamas. Jamaa wamo ndani ya Palestine

Israel kawapa masaa manne tuu.
 
Muoga ni yule aliejificha kwenye maandaki au yule aliepo juu ardhini?
Majamaa yalikimbia na kufichama kwenye mahandaki waliyochimba kwa fedha ya dhulma.Wafadhili walitoa fedha kusaidia waathirika lakini HAMAS akaipora na kuitumia tofauti na malengo kwa kuchimbia mahandaki. Walitimka na kuingia kwenye mahandaki hayo lakini Mwamba kaamua kuwapulizia cha "kwaheri". Hakuna aliyeleta mtafaruku na Israel akabaki salama.
 
Hii mbinu ya Israel kupora ardhi ya wapalestina nimeipenda sana. Yaani Israel ime-dramatize kuwa raia wake wametekwa na Hamas halafu dunia imeaminishwa ikaamini. Ndipo sasa Israel ikapata uhalalali wa kuwapigia wapalestina
Mtaongea lugha zote, lakini magaidi lazima waishe wa hamaasi
 
Wacheni ujinga hayo sio mahandaki hivyo ni visima afu wanavyo bomoa ni foundation ya majumba kuna handaki likawa hata haifiki meter 1 foundation za nyumba huwa ni 1.5 The tunnels are usually 20M to 30M beneath the surface hawa Israel wanawazingueni tu πŸ˜„

Pili kunasehemu inapita sewage au pipe wanasema tunnels.

Hizo ni Hollywood film πŸ˜„

Israel mpaa sasa hivi anapigwa na vile vi chipukizi tu vinajitokeza vitatu huku vinne huku wale special force bado wametulia wanwacheka tu wanajeshi wa Israel

Jamaa wa Gaza wanafurahi waisrael wanakimbia wanaogopa tarehe 11/11




View: https://youtu.be/eS21Xo1GME8?si=5Yu7PS5X8b9bKf0Z
 
Hata wewe mwenyewe huelewi hiyo video uliyopost inaelezea nini,umeona wametamka Palestina wakamwonyesha na Netanyahu, ukaweka maelezo yako toka kichwani ukakimbilia kuleta video hapa fastaaaπŸ˜†πŸ˜†
 
Hata wewe mwenyewe huelewi hiyo video uliyopost inaelezea nini,umeona wametamka Palestina wakamwonyesha na Netanyahu, ukaweka maelezo yako toka kichwani ukakimbilia kuleta video hapa fastaaaπŸ˜†πŸ˜†
Yani we unadhani mimi kiarabu sikijui? Sawa basi mimi hata Kiyahudi nakifahamu pia sio wewe hata kisukuma hujui
 
Mlisema Israel hataingia Gaza Kwa mguu, ameingia.
Sasa mnasema hawezi ingia kwenye mahandaki πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Kama mnaoisapoti Palestina ndio mlo hivi basi pole yao Palestina.
Waliosema hatoingia si wafuatiliaji wa ugomvi wa Israel na Palestine, Israel Mara kwa Mara huingia Gaza,ndiyo maana Hamas wakajenga mji chini
 
Una Elimu gani ustaadhi? Mbona unatuaibisha sana wenzio? Wote tutaonekana maandazi.
 
Just rumors tu, nuke wa head kwa sehem ndogo kama gaza ni overkill. madhara yake yana last life time
Sidhan kama wataruhusiwa
Kwani nani anatoa ruhusa?
Na kuna tofauti gani kuwaua kwa risasi na kuwaua kwa nyuklia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…