Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanajeshi wana life gumu sana, hao watawala wanawatumia kama Condomu tu,wanao faidi hii nchi ni hao watawala wa CCM,
Hata wanyapara huko magerezani huwasimamia wafungwe wengine ila hilo haliwafanyi kutokuwa wafungwa.
 
Chadema wangeendelea kudai katiba! Wangepata huruma ya dola!

Lakini wakaingia mkenge was nusu mkate wakakosa hata credibility ya Dola kuwatetea!!

Waache kulalamika wavune walichopanda!!

Wewe naye. Dola ndio ilitangaza elimu ya Katiba kwa miaka mitatu, Sasa ulitaka CHADEMA wafanyeje.
 
Siku hizi jeshi limekuwa la kufanya usafi?. Yani zile 4R ni unafiki tu.
Si tulikubaliana mama anaupiga mwinginkiko wapi
Shida mna akili fupi, Mbowe maandamano ya dp world aliyadanifu
leo kwa kuwa anaona interest zake anatangaza maandamano
 

Aibu yako. CHADEMA inawafanyisha usafi kwa nguvu.
 
Kwani nani kawakataza?Si wafanye maandamano. Kwani usafi unahusiano gani na maandamano?Si fanyeni tu maandamano!

CHADEMA wasogeze siku moja mbele tuone hao marobot watafanyaje
 
Si tulikubaliana mama anaupiga mwinginkiko wapi
Shida mna akili fupi, Mbowe maandamano ya dp world aliyadanifu
leo kwa kuwa anaona interest zake anatangaza maandamano

Acha kuniambia ujinga. Usirukie mada za watu. Nimekuiliza swali halafu unalitea mambo ya mama mjinga.
 
Wakizagaa dar tunaanzia bunda kuelekea maeneo ya kibara,kisolya na kwiramba ili tukutane na cprian musiba Yuko mugara anavua sangara
 
Mungu awatie nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…