Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wanyapara huko magerezani huwasimamia wafungwe wengine ila hilo haliwafanyi kutokuwa wafungwa.Wanajeshi wana life gumu sana, hao watawala wanawatumia kama Condomu tu,wanao faidi hii nchi ni hao watawala wa CCM,
Chadema wangeendelea kudai katiba! Wangepata huruma ya dola!
Lakini wakaingia mkenge was nusu mkate wakakosa hata credibility ya Dola kuwatetea!!
Waache kulalamika wavune walichopanda!!
Si tulikubaliana mama anaupiga mwinginkiko wapiSiku hizi jeshi limekuwa la kufanya usafi?. Yani zile 4R ni unafiki tu.
Amani yetu ni bora sana kuliko kuwaacha wahuni wa chadema wachukue political mileage kwa manufaa yao,wakati huo wananchi wasio na hatia wakipoteza maisha mbowe na makengeza yake atakuwa akishuhudia haya kupitia runinga akiwa Mareakani na Lissu akiwa Amsterdam ubeligi kwa mabwana zake.
Safi sana serikali yangu,na mimi ningekuwa Dar ningejitolea kufanya usafi siku hiyo,eti maandamano,my foot
Kwani nani kawakataza?Si wafanye maandamano. Kwani usafi unahusiano gani na maandamano?Si fanyeni tu maandamano!
Si tulikubaliana mama anaupiga mwinginkiko wapi
Shida mna akili fupi, Mbowe maandamano ya dp world aliyadanifu
leo kwa kuwa anaona interest zake anatangaza maandamano
Ataongeza siku za usafi.Chadema pelekani maandamano yenu tarehe 25 na 26 tuone atafanyaje?
Mkuu wa mkoa hana mamlaka ya kuamarisha jeshi dhidi ya mambo ya kisiasa ,mpuuzeeni chamila ni muhuni tu
Mungu awatie nguvuMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.
Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.
View attachment 2870823
_______________
---------------------
Soma pia
CHADEMA Yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni
Hata hivyo ikumbukwe kuwa siku hiyi imepangwa kama ni siku ya Maandamano ya Wanachama wa CHADEMA DAR ES SALAM ili.kupinga baadhi ya mambo nchini..
View attachment 2870825
Nawakumbusha chadema kuwa mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, hivyo wajichanganye hiyo tarehe waje watusimulie
sawa mkuu asante kwa kunijuzaDownload soft copy ya katiba usome
Na nyie mlikuwa wap kuweka maandamano.?
Aisee. Basi huenda kapewa maelekezo au kujiamulia mwenyewe. Naona tunaanza kurudi nyuma tena badala ya kwenda mbele kwenye demokrasia. Ni huzuni sana.Mbowe si kasema asubuhi..
Huyu jamaa jioni hii ndo katoa tamko
Vp na nyie mbona kwenye mafuriko kule Manyara mlienda mkiwa mnajua ni siku ya rais kuwepo siku hiyo.?Ndio tumetangaza Leo. Cha kushangaza jeshi nalo limeingilia kati. Na sio mara ya kwanza.
Tanzania haitakombolewa na wanasiasa maslahi dizaini ya mbowe mara miaAcha kuniambia ujinga. Usirukie mada za watu. Nimekuiliza swali halafu unalitea mambo ya mama mjinga.