Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
...Yaani JWTZ ya KuliΓ±da Mipaka yetu na Rasilimali zetu Leo Wanasiasa Wanaishusha Hadhi na kuishia kuwa Jeshi la KUFAGIA Barabara Zetu ? [emoji848][emoji848][emoji848]...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo CDM watakuwa takataka?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Polisi na jeshi Tanzania ni kazi za laana. Ndio maana wengi wao wakistaafu wanakuwa kama matarambara ya deki. Dhuluma na kutumika kuiba kura wanavyofanya ndio chanzo cha yote.
 

Huu utaratibu wa kuyatumia majeshi yetu kwenye mambo ya kujinga ya kisiasa ni kuyashushia hadhi majeshi yetu.

Ningekuwa CDF ningemuita Chalamila ofisini kwangu na ningemwambia maneno mawili tu "KUWA NA ADABU" na kumtaka aondoke mara moja.
 
Mimi nitakwenda kufanya usafi alafu baadae nitakwenda kwenye maandamano.
 
Mimi nitakwenda kufanya usafi alafu baadae nitakwenda kwenye maandamano.
 
Ndo maana nikasema hakuna Nchi inayoweza kupeleka 5 brigade kuikusanya sehemu moja Ni hatari sana kwa Usalama wa Taifa..
Halafi askari Polisi 3000 ni wengi sana sidhani kama tunaweza kuwa Nao kwa mkoa wa Dar peke yake
Je Cdm ikiamua kuitisha maandamano nchi nzima, askari wangapi wstafanya usafi siku hiyo.
 
Yaani umecheka nini?Si usafi tu!!!
Hii kitu ya usafi kwa kutumia majeshi mara nyingi huwa inafanyika siku ikitangazwa maandamano na vyama nje ya CCM tu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…