DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #221
Ndo maana nikaweka Emoji ya kucheka 😅😅Hatuna hiyo idadi ya askari ndani ya mkoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nikaweka Emoji ya kucheka 😅😅Hatuna hiyo idadi ya askari ndani ya mkoa.
Mwamba kabeba hadi Fire extinguisherHawa miamba watakuwa mitaani kufanya usafi siku ya 24/02/2024
USSR View attachment 2871465View attachment 2871466
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Hawa miamba watakuwa mitaani kufanya usafi siku ya 24/02/2024
USSR View attachment 2871465View attachment 2871466
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo CDM watakuwa takataka?😂😂Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.
Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.
View attachment 2870823
_______________
---------------------
Soma pia
CHADEMA Yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni
Hata hivyo ikumbukwe kuwa siku hiyi imepangwa kama ni siku ya Maandamano ya Wanachama wa CHADEMA DAR ES SALAM ili.kupinga baadhi ya mambo nchini..
View attachment 2870825
Chala ni kipaza tu hapohii nchi watu ni walevi wa madaraka
sasa chalamila ana uwezo wa kuamrisha jeshi wafanye usafi wakuu emu nipeni muongozo hapo
🤣🤣
Je Cdm ikiamua kuitisha maandamano nchi nzima, askari wangapi wstafanya usafi siku hiyo.Ndo maana nikasema hakuna Nchi inayoweza kupeleka 5 brigade kuikusanya sehemu moja Ni hatari sana kwa Usalama wa Taifa..
Halafi askari Polisi 3000 ni wengi sana sidhani kama tunaweza kuwa Nao kwa mkoa wa Dar peke yake
cdm watangaze kupita mitaa yetu, tunahitaji kufanyiwa usafi huku.Usafi wa kinafiki?. Walikuwa wapi siku zote?
Hii kitu ya usafi kwa kutumia majeshi mara nyingi huwa inafanyika siku ikitangazwa maandamano na vyama nje ya CCM tu!.Yaani umecheka nini?Si usafi tu!!!