Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haaiwezekani kupata kibali cha kufanya usafi na kuwa miongoni mwa wanajeshi siku hizo mbili? Hata FFU tu?
 
Ndo maana nikasema nikufundishe majukumu huenda hujui hata kazi ya jeshi!
Hakuna Jeshi Duniani lenye kazi ya kufanya usafi..
Shida yako unasimuliwa na unaambiwa kila kitu
Siku hy wakati mnaandamana ndio utajua majukumu ya jeshi, uwepo eneo la tukio usije kuleta visingizio
 
duuh hapa najiuliza sherehe za mapinduz zinaendelea mpaka january iishe
 
Mbowe nimeshaanza kumshtukia ni ccm inside job.
Huwez kutumia mbinu ile ile miaka nenda rud bila mafanikio na bado unai opt.
Siku nikiskia kuna mchango wa chini chini kusupport logistics za jeshi la ukombozi nitajua wanamaanisha.
Kwa kiwango cha usugu wa ccm maandamano ni porojo.
Ifahamike ni chama chenye mtaji nyanja zote kuliko chama chochote cha siasa africa, haijalishi kinaongoza nyumbu.(pesa, watu/utaalam, vifaa vya kijesh/dola, na zaid NIA ya kukaa madarakan)
 
Sikujua una akili mbovu hivi wewe mpare
Nawe unajiita msomi matako ya fisi wewe ovyo kabsaaa takataka wewe
Unakaribishwa kwenye maandamano hapo ndipo utajua matako ya fisi yalivyo, tunakupasua hayo makalio ukamuonyeshe mumeo Mbowe ili akupe dawa
 
Chadema ijikite kupanga maandamano tokea ngazi za chini kabisa viongozi wa matawi uwa wana nguvu na ushawishi Mkubwa kwa wanachama hai. Wasipoteze nguvu na hizi measures za kurupuka za Serikali. Huko kwenye mashina kuna wana CCM, polisi, jeshi na usalama wenye mapenzi na Nchi watatoa siri za mipango yao na kushauri cha kufanya ni muhimu wanaoratibu haya maandamano wawe waskivu na channel nzuri ya mawasiliano kupokea information toka kwenye matawi yao.
 
Chadema ijikite kupanga maandamano tokea ngazi za chini kabisa viongozi wa matawi uwa wana nguvu na ushawishi Mkubwa kwa wanachama hai. Wasipoteze nguvu na hizi measures za kurupuka za Serikali.
Kwanini wafanye maandamano kwani wameshindwa kufanya njia Nzuri ya kupata suluhisho..
Maandamano sio njia nzuri kwa nchi kama yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…