Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Haaiwezekani kupata kibali cha kufanya usafi na kuwa miongoni mwa wanajeshi siku hizo mbili? Hata FFU tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hy wakati mnaandamana ndio utajua majukumu ya jeshi, uwepo eneo la tukio usije kuleta visingizioNdo maana nikasema nikufundishe majukumu huenda hujui hata kazi ya jeshi!
Hakuna Jeshi Duniani lenye kazi ya kufanya usafi..
Shida yako unasimuliwa na unaambiwa kila kitu
Mimi Kuwepo eneo la.Tukio lazma niwepo mkuu Cuz hata Hunijui 😅😅Siku hy wakati mnaandamana ndio utajua majukumu ya jeshi, uwepo eneo la tukio usije kuleta visingizio
Unakaribishwa kwenye maandamano hapo ndipo utajua matako ya fisi yalivyo, tunakupasua hayo makalio ukamuonyeshe mumeo Mbowe ili akupe dawaSikujua una akili mbovu hivi wewe mpare
Nawe unajiita msomi matako ya fisi wewe ovyo kabsaaa takataka wewe
Naomba uwe mbele ili tukunyooshe vzr kabla hatujachokaMimi Kuwepo eneo la.Tukio lazma niwepo mkuu Cuz hata Hunijui 😅😅
So chill men!
Mpaka useme🤣 aweee sio ntu mjuri we ntu wa mombatha nakukimbia bwana
Haha😅😅 Kwahyo Mkuu!Naomba uwe mbele ili tukunyooshe vzr kabla hatujachoka
Hofu ya nini?Uko uwezekano siku hizo raia wakashinda majumbani bila kutembea kwa sababu ya hofu!
Chadema ijikite kupanga maandamano tokea ngazi za chini kabisa viongozi wa matawi uwa wana nguvu na ushawishi Mkubwa kwa wanachama hai. Wasipoteze nguvu na hizi measures za kurupuka za Serikali. Huko kwenye mashina kuna wana CCM, polisi, jeshi na usalama wenye mapenzi na Nchi watatoa siri za mipango yao na kushauri cha kufanya ni muhimu wanaoratibu haya maandamano wawe waskivu na channel nzuri ya mawasiliano kupokea information toka kwenye matawi yao.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.
Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.
View attachment 2870823
_______________
---------------------
Soma pia
CHADEMA Yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni
Hata hivyo ikumbukwe kuwa siku hiyi imepangwa kama ni siku ya Maandamano ya Wanachama wa CHADEMA DAR ES SALAM ili.kupinga baadhi ya mambo nchini..
View attachment 2870825
Ndo mana nikasema uwe mbele kwahy tutadeal na viherehere wote wa mbele na ww ukiwemoHaha😅😅 Kwahyo Mkuu!
Mimi unanijua dah Jf Raha sana 😅😅🤣🤣
Kwahyo wewe upo kikosi gani?
Kombania ipi?
🤣🤣
Kambi gani?
Kwanini wafanye maandamano kwani wameshindwa kufanya njia Nzuri ya kupata suluhisho..Chadema ijikite kupanga maandamano tokea ngazi za chini kabisa viongozi wa matawi uwa wana nguvu na ushawishi Mkubwa kwa wanachama hai. Wasipoteze nguvu na hizi measures za kurupuka za Serikali.