Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
I love you too jirani..๐๐๐๐๐
Jirani happy new year.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love you too jirani..๐๐๐๐๐
Jirani happy new year.
Viongozi wetu wanashindwa kujua, hakuna jeshi lililowahi ishinda nguvu ya umma. Washukuru hii hofu ya Mungu iliyopo mioyoni mwa watanzania na wasijisifu kuwa wana jeshi bora.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola.
RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya kuwekwa Wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Babtist la Dar es Salaam, Makamu , Katibu, Katibu Msaidizi, Mhasibu na Mhasibu Msaidizi ambapo amewataka Wakazi wa Dar es Salaam kutokuwa na shaka watakapoviona Vyombo vya Dola vikifanya usafi.
Chalamila amesema katika kufanya usafi huo pia kutakuwa na magari mbalimbali ya kijeshi kwa ajili ya kukusanya takataka na kuwataka Waumini kuwa Mabalozi wazuri wa kampeni ya usafi ili kupambana na magonjwa mbalimbali.
My Take
Maridhiano na Samia ilikuwa utapeli
Kula kulala utamjua tuSafi sana, tutajua mwanaume nani
Yes anaweza,yeye ndio Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Mkoahii nchi watu ni walevi wa madaraka
sasa chalamila ana uwezo wa kuamrisha jeshi wafanye usafi wakuu emu nipeni muongozo hapo
Basi kama hakuna adui mimi nitaendelea kushikilia hapohapo kwenye uimara mpaka adui atakapojitokeza.Umedanganywa hakuna uimara wowote ni basi hatuna adui
Sio mwenyekiti wa Ulinzi,Tanzania tutaelewa lini sheria na katiba?Yes anaweza,yeye ndio Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Mkoa
Yes anaweza,yeye ndio Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Mkoa
Amekuigizia mara ngapi?Mbowe ni Muigizaji tu
Kuna mahali ndani ya sheria pametaja mwenyekiti wa mkoa?Yes anaweza,yeye ndio Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Mkoa
aaah ok asante kwa kunijuza nlkua sijui hiloYes anaweza,yeye ndio Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Mkoa
Na hakuna silaha inaweza kuushinda utashi wa binadamu ambaye haogopi kifoKwa jinsi hii hali inavyokwenda Serikali ijiandae na kama kuna shida sehemu basi ijaribu kuleta solution mapema
Coz mpaka kuleteana wajeda road hili jambo limekwenda mbali sana na soon wananchi watazoea na kitakachofatia hapo hii nchi haitakalika tena na amani ndio bye bye Tanzania
Kuna stage kwenye maisha ukifika hakuna kurudi nyuma tena coz enough is enough na ukiangalia hauna cha kupoteza, ukiangalia maisha magumu, pesa kitaa hamna, viongozi hawaelewiki, shida za wananchi hazitatuliwi, mafisadi hawawajibishwi na mkitaka kubadilsha mfumo wa utawala kwenye box la kupiga kula nako ni kipengele, yaani shida shidani.
Asee Nyinyi Viongozi hii nchi mtaiponza for real
Sasa wanajeshi 5000 na polisi 3000 hiyo Dar itakuwa ni Vita au Ni usafi[emoji28][emoji28]
Kwanza nitoe pongezi kwa Mh. Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa kuamrisha vikosi vya JWTZ, Polisi na Zima Moto ifikapo tarehe 24 - 25 January kufanya usafi kwa kufagia, kuzibua mitaro yote ya majitaka na kuzoa takataka zote za Jiji ili kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Hii inatokana na kugundua kuwa vikosi vyetu vya ulinzi vimekaa kihasara hasara kwa kukosa kazi za kufanya na hivyo kulisababishia Taifa matumizi mabaya ya fedha na nguvu kazi.
Nitoe wito kwa Wana Darisalaam wakati mkijiandaa na maandamano ya amani yaliyoandaliwa na Chadema kupiga miswada mibovu kuhusu Tume huru ya uchaguzi, uchaguzi wa serikali za mitaa na vyama vya siasa kuhakikisha takataka zote zilizopo katika mazingira yenu mnaziweka barabarani ili kuvirahisishia utendaji kazi vikosi vya ulinzi.
Aidha nitoe wito kwa Wakuu wa Mikoa nchini kote kuiga mfano wa Mh. Chalamila ili vikosi vyetu visikae bure bila kazi ya kufanya na hivyo kuongeza tija ya matumizi ya kodi zetu.