Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #101
Tofautisha udini na ukatoliki. Ni wazi alikuwa na ukatoliki.Ila ukitaja teuzi zenye viashiria vya udini wa Jiwe, hawa wooooote wanaomlaani kwa ukabila wanaungana kumtetea ππ
Nimepanic nini sasa wakati nimeuliza swali?Umepanic,tulia
Mpuuze huyo ni vuvuzela tu hana ajuwaloSuala la Chadema linaingia vipi? Ni chama cha taifa?
Ila ukitaja teuzi zenye viashiria vya udini wa Jiwe, hawa wooooote wanaomlaani kwa ukabila wanaungana kumtetea [emoji16][emoji16]
Hata kuandika sijuiHujui kusoma?
Hana akili huyoYaani upendeleo wa awamu ya 5 kwa wasukuma ndiyo unaliganisha na upendeleo wa Nyerere kwa watu wa Mara? ubongo wako utakuwa na kutu. Uzuri awamu ya 5, upendeleo ulikuwa wa wazi kabisa bila kificho chochote tena kwa kasi ya 4G.
Msukuma pekee ambaye ja kupata bahati ya kukumbukwa katika teuzi ni Pascal Mayalla sijui alikuwa na nuksi gani !.Jamaa baada ya kuona hata kurugenzi ya Ikulu hakunbukwi akaamua kujitosa ubunge Kawe kule hakupiga hesabu vizuri kumbe alikuwepo Msukuma zaidi yake bora angekwenda jimbo lingine angewaza kukumbukwa.
Hujui kusoma?Mleta uzi una maana gani?
Mimi ni mgeni hapa jukwaani
Acheni kuwasakama Wasukuma kwa njia za kikabila
Msijaribu kupandikiza mbegu msiyojua ukubwa wa mti wake ikianza kumea
Ninyi ndiyo kinanani?Ninyi si mlisema Magufuli hakuwa msukuma?
Kila akichaguliwa mtu utasikia ni Kadoggoosha,mara ooooo MaghoooshaWashenzi tu hao wanaleta ukabila wakati hao walio chaguliwa ni watanzani hapa ukabila unaanza na wa kulaumia ni kigogo
Kuwa 1/4 ndio sababu ya kupendeleana?Hii nchi tunakoelekea itakuwa kama Kenya π°πͺ, hapo ndio utakuwa mwanzo wa wasenge fulani kuwatia adabu, huwezi ukasema wazi kuwa Wasukuma wabaya huku 1/4 ya population ya Tz ni wao tu
Wewe ukiwemo,au leo unajisahaulisha mkuu.Ninyi ndiyo kinanani?
Masukuma ni Majinga Sana!
Kwanini wewe usiwe ndiye mmiliki wa hilo jina ?JPM kabla hajafa aliitwa Mhutu leo kafa wasenge wanasema ni msukuma which is which.Dr Mpango kawa VP anaitwa Mhutu wa Burundi, hii nchi tulipo ni patamu Sana tutafika tu.Hizi elements zikipenya zaidi kwa wananchi ndio patakuwa patamu zaidi itakuwa ukabila ukabila ukabila, nafasi za juu za uongozi zitashikwa na makabila makubwa tu, wengine watabaki kulalamika tu nyuma ya keyboards na hawatafanya lolote
Kuwa 1/4 ndio sababu ya kupendeleana?
Wewe ni zumbukuku kabisa,unaakili kama za kuku,kwa hiyo wewe ulitaka kabila lake asiwateue hata mmoja,hebu tazama baraza la mawazili kipindi cha mwinyi,do pius ngw'andu,dk william shija,marcel komanya,charles kabeho,Steven kazi,bujiku sakila, dk nkwabi ngwa'nakilala,Andrew change,hawa woote walikuwa vigogo ktk nafasi za kuteuliwaKwani makabila mengine nayo hayakuwa na watu wenye sifa hizo hadi ateue kabila lake tu kwa wingi?
Haya tuachane basi na mpambe wa Rais.Mpambe wa rais nae ni nafasi ya kiongozi wa jamii? Kwa ujumla hata sasa bado hawajabalance vizuri.
Kwa akili kama hizi . .wewe na ukoo wenu mnahasara tupu.1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala
2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa.
3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka.
4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi- Angelina Mabula.
5.Mkurugenzi wa Tcra- James Killaba
6.Mkurugenzi wa Pssf- Hosea Kashimba.
Mdau na wewe tupia mmoja wapo unaemjua