Majirani wazuia jeneza la kijana kuingia kwa wazazi wake

lakin mkuu alikuwa mgonjwa according to thread tena kifafa.. huyo alihitaji msaada wa wazazi...
 
Umejaribu kufananisha vitu viwili tofauti kabisa,yaani ni kama unajaribu kuaminisha watu kwamba usiku na mchana ni sawasawa
Unamaanisha nini ?

Nimejibu comment ya mtu hapo juu huhusu huyu mtoto kutelekezwa nikauliza 32 years ni mtoto....

Sasa kama mtu at 32 alisha-conquer the world ije kuwa mtu at 32 kupambana na msalaba wake ? au wewe ndio hauelewi !!!!
 
Mbona ni mchaga huyo kijana, Au mama wa kambo kaamua hakuna mahali pa kumzika huko moshi. Siyo rahisi mchaga kuzikwa ugenini vinginevyo kuna namna wameona wasitumie gharama kwa huyo kijana ambae walikuwa hawaoni impact yake.
 
Nasikitika kuona huo msalaba bado umeandikwa jina la baba ake kwanini wasingeandika PIUS SERIKALI
Ukisoma hiko kisa utagundua kuna kauli kama mama yake aliyekuwa akiishi Moshi mkoani Kilimanjaro ukitafakari huu mstari utagundua mmoja wa wazazi wake wanaotajwa kuwa na ugomvi nae siyo aliyemtoa ktk kiuno chake.

My point is,upo uwezekano baba yake alikuwa anajaribu kuwa karibu na mwanae ila nguvu ya mama mwenye nyumba ikashinda.hawa mama wa kambo wanawatesa sana watoto pamoja na kuwasingizia vitu vya uwongo kwa baba zao.
 
So kwa muktadha huo tuseme MJINGA MPE CHEO?!!!
 
Shibe inakudanganya
 
32 years jamani si umri wa kua dependent, hata ikitokea ukakosa msaada si ku lalamika.
Maisha ni kupambana.
Sasa mzee utapambanaje afya mgogoro?

Hapo tumeambiwa alikuwa na kitu kama kifafa nani angeajiri mtu anayeanguka kwa siku mara mbili mwisho wa mwezi akimlipa mshahara?baba yake ndiye mjinga kushikiwa akili na mwanamke akashindwa hata kumtibia mwanae!

Angempa matibabu stahiki tu kisha akamwacha akahangaike huko siyo kuacha mpaka damu yake iishi kwenye pagale,Mchagha fala sana huyo.
 
Kwa waliolelewa na mama wa kambo wale wenye sifa ya kuitwa mama wa kambo hawawezi kushangaa tukio hili
 
Shibe inakudanganya
Nope hapa nilipo nina njaa kubwa sana ila kwa kuweza kuvuka umri wa utoto mpaka umri wa ujana na mpaka ukubwa ninashukuru sana..., sababu ningeweza kuuliwa wakati siwezi kujitetea, kwahio chochote kinachotokea baada ya hapo it's on me.... Nashukuru chochote nachopata na kuwashukuru wote waliotoa chochote sababu mengi wanayofanya wala sio wajibu, ni ubinadamu....

By the way Shibe na Njaa inachangiwa na Mentality..., ukiwa na mentality ya njaa hautashiba kamwe unaweza ukasikia kiu wakati umezungukwa na ziwa....
 
Hakupaswa kutengwa wakati wa uhai, lakini alifanya nini kwa wazazi wake!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…