cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wengi waoTatizo kubwa hapo ni roho mbaya ya mama wa kambo. Daima Mama wa kambo sio Mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi waoTatizo kubwa hapo ni roho mbaya ya mama wa kambo. Daima Mama wa kambo sio Mama
Hakika haswaaaaa.Mama wa kambo weng Wana roho mbaya sanaaaaa sijui wakoje yaani speaking from my very own experience
Nasemaga hivi wanangu ni sehemu ya mwili wangu sitaruhusu walelewe na mama wa kambo labda nife na nasemaga always nikifa wanangu waende orphanage tu kuliko kuishi na mama wa kambo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wachaga hawana utu ni kweliii, nakubaliiiiiii haswaaaaa.Kwa wachaga hawana utu hata wenyewe wanalijua Ilo Bali Ni pesa mbele tu. Yaani cheki wale wachaga masikini huwa rafiki zao Ni makabila mengine. Huwa hawaendi kwao likizo Mana kudhihakiwa na kutumwa Kama watoto mwanzo mwisho. Wewe Ni me Mara utasikia mdogo wako wa kike anakuambia nioshee Ilo benzi langu dogo.
Wewe ndiye unayetumwa Kama mtt.
Na ndio Mana ukioa uchagani uwe na hela halafu kwao hawana hela ndio utalijua jiji lazima tu utajenga kwao,uwape mtaji wadogo zake ama wakubwa whether you like or not ukikataa tu utasikia majambazi wamevamia umeuwa.
Kuna wachaga wanajenga Ila wanapanga wake zao wasijue Kama tayari wameshajenga. So Ilo mie silishangai.
Wachaga Wana hela wafanyabiashara wanawakimbilia wa Asia ama waarabu Ni wasomi wao ndio wanaomiliki miradi mikubwa hapa Tanzania. Ndio wasomi wengi hata huko vyuoni na taasisi nyeti serikalini hata Delta binafsi. Tunao Neurosurgeons Kama Tisa nadhani wengi wa hao Tisa tanzania nzima Ni wachaga.kiufupi wanafanya biashara ikiwa damuni sio Kama makabila mengine wanafanya Kama option. Yaani mchaga na pesa/biashara Ni sawa na mmasai na ng'ombe.
Lile la kwanza watakataa na watanishambulia mana Ni ukweli na ukweli kawaida ya ubongo inaukataa na unauma Ila hili la mwisho watafurahia na Mana nimewajaza ego ego yao yaani nimewalisha ikashiba
Simulia saanaaa, omba yasikukute.32 years jamani si umri wa kua dependent, hata ikitokea ukakosa msaada si ku lalamika.
Maisha ni kupambana.
Hujui hata usemalo, au hujasoma madam vizuri?Miaka 32 unalilia msaada kwa wazazi [emoji276]?,Dunia ina maajabu yake!,sisi wengine tulioanza kujipambania kuanzia miaka 16 sijui tulifeli wapi [emoji851]
Nimewaza hivyoooooUsikute alitolewa kafara awe ndondocha ,hela ije akapata kifafa
Wewe mpumbavu umesoma uzi vizuri?32 years jamani si umri wa kua dependent, hata ikitokea ukakosa msaada si ku lalamika.
Maisha ni kupambana.
Alikuwa na ugonjwa wa kifafa.Hakuwa mzima wa afya.Mfano mtu kama 50 Cent wote tunamjua sasa hivi lakini kwa mazingira aliyokulia ukifika miaka 25 na upo hai hujapigwa shaba unamshukuru Mungu...mbona wametoboa....32+ years ni nyingi sana kwa kijana kutoa kisingizio au lawama kama hajasaidiwa na wazazi
Na ule ubaguzi wanao mno. Yaaani nasema hivi weka Basi lako from mwanza let say to Arusha ama Moshi. Uone Kama watapanda Ni mwendo wa Asante rabi.
Umeambiwq alikuwa mgonjwa tena kama kifafa hali iliyopelekea kupoteza kazi. Alihitaji tu msaada aweze kujimudu kazi inayoendana na hali yake siyo hizi za waajiri. He needed help for sure.32 Years ?
Alexander the Great had a profound effect on world history. His conquests covered the entire known world at the time, and he was responsible for the spread of Greek culture throughout the ancient world. In Babylon in 323 BC, Alexander died when he was nearly 33 years old.
RIP kijana..., anyway si vema kuleta lawama kwa mtu yoyote yule..., In life we make our own beds hence we should be ready to lie on them....