Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

Maskini! Hapa ndipo ameonesha kutokomaa kulivyo kwa shida kweli. Utoto raha
 
tuwe serious kidogo hivi stand na barabara ya njia nne ndiyo inaleta utajili kweli, ofcourse stand inatakiwa kuwepo na miondombinu mingine lakini sio vichocheo vya uchumi hivo, bukoba wabadili akili zao za kuamini maisha ni shule tu
 
Kwa hiyo unashauri waache kusoma au???
 
tuwe serious kidogo hivi stand na barabara ya njia nne ndiyo inaleta utajili kweli, ofcourse stand inatakiwa kuwepo na miondombinu mingine lakini sio vichocheo vya uchumi hivo, bukoba wabadili akili zao za kuamini maisha ni shule tu
Kwa hiyo waache kusoma?

Wawe kama wew usivyo na akili...
 
huyo anayempiga majungu hadi analia mbele za watu ni nani? kwahiyo hata akitembelea wakwe zake wanajua alilia mbele za watu. huyo dogo vipi? wamekosekana watu wenye mshipa mgumu wasio lialia washike hilo jimbo?
 
BITEKO kawekwa kama Project ya Usukumani... Baada ya Magufuli kufariki... Wasukuma wamepoozwa na BITEKO πŸ˜‚
wasukuma si ubongo wao mdogo, hapo wamesharidhika na wamesahau yooote. hadi kifo cha mawazo wamekisahau.
 
Njombe hii iliyojaa ushirikina na kulawiti watoto wadogo kama njia ya kupata mali?
Mkuu Bukoba imestaarabika mno...kiongozi pale unahitaji kuwa mkweli na transparent vinginevyo utayumbishwa hadi kulia...bukoba watu hawadanganyiki kizembe...
Tutajua mengi, yetu macho!
 
Hiyo inahusianaje na ujenzi wa barabara nne?
Kwa elimu ya watu wa singida wala sishangai unachouliza, ninyi ndio wale watu wakipigia kelele ripoti ya CAG mnasema haiwahusu, kla kitu hakiwahusu.
 
Kwa elimu ya watu wa singida wala sishangai unachouliza, ninyi ndio wale watu wakipigia kelele ripoti ya CAG mnasema haiwahusu, kla kitu hakiwahusu.
Mkuu siasa za maneno zinapaswa kuisha. Twende kwenye siasa za kupanga mipango na kuitekeleza.
 
Kwakweli wajenge tu at least ina hadhi ya stendi sio kile kituko kilichokuepo!
 
Mkuu siasa za maneno zinapaswa kuisha. Twende kwenye siasa za kupanga mipango na kuitekeleza.
Hao watu wa maeneo ndio wanakwamisha na unajua hilo, Kuna maeneo watu hawajali na wanaambiwa mafiga matatu, wana mbunge hajawahi kuongea bungeni kwa miaka 10 na wapo tu, ndugu ukilala wenzio wameamka, ukitembea wenzio wanakimbia.
 
Pumbavu amechelewa sana Chalamila aliwaambia Bukoba mkabisha.
 
Huyu naye kituko! Dume zima linalia ili iweje? Bukoba ipo, ilikuwepo na itakuwepo hata bila wewe /CCM.
Kwanza hakutaja majungu na nani analeta majungu...
 
Bukoba nimefanya kazi miaka 8. Alichosema Mbunge ni kweli. Ukitizama eneo litakalowekwa barabara njia nne lote limejaa vitega uchumi vya familia kongwe hapo mjini. Lazima wampige majungu. Na wengi ni CCM wenzie akowemo Mwenyekiti CCM Mkoa
 
huyo anayempiga majungu hadi analia mbele za watu ni nani? kwahiyo hata akitembelea wakwe zake wanajua alilia mbele za watu. huyo dogo vipi? wamekosekana watu wenye mshipa mgumu wasio lialia washike hilo jimbo?
Kwa tunaoifahamu Bukoba bora alie tu na atalia sana..

Bukoba inahitaji mtu asiyepepesa macho....ule mji kila mtu ana theories zaka anazisimamia...so ili mambo yaende ni either watu wafungwe au wanyongwe kabisa...

Nimependa walivyopanua barabara ya uganda kuwa njia nne...watu wamevunja nyumba wenyew
 
Bukoba nimefanya kazi miaka 8. Alichosema Mbunge ni kweli. Ukitizama eneo litakalowekwa barabara njia nne lote limejaa vitega uchumi vya familia kongwe hapo mjini. Lazima wampige majungu. Na wengi ni CCM wenzie akowemo Mwenyekiti CCM Mkoa
Lakin nyumba si wamevunja sasa...kwanza zile zilikuwa zimechoka sana....watachukia lakin watu wa bukoba wanataka maendeleo...barabara ya njia nne itaubadilisha completely mji wa Bukoba...
Na naskia ni kutoka Rwamishsnye hadi bandarini km 5.1...
Awamu ya kwanza inaishia nyangoye...na awamu ya pili ni hadi bandari...majengo mengi yatavunjwa lakin hakuna namma bukoba lazima ijengwe tu...
Mji mzr sana ule kibiashara lakini wapumbavu wachache wanauharibu
 
Ulitaka tusiseme ukweli? Waulize watu wa kagera, wanalielewa hilo.

Wewe humfahamu kuwa mwizi wa taifa yule, au umesahau kilichomtowa uwaziri ni nini?
Aliibia nini taifa? Kama ni pesa za escrow,hajawahi kuhusika kabisa, wahusika wa escrow wanajulikana ni kikwete na genge lake, ndio walibeba pesa kwenye magunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…