Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

Kuna mmja Yuko Ofisini ni mdada aisee keshawahamisha Jamaa wa 3 Kwa fitina,Kila mtu hamtaki lakini ukigombana nae unaondoka wewe.
Namba nyingine ni watu wa Mbeya (Wanyakyusa) na wafipa (Rukwa) wakali wa Majungu.
Yani wahaya wasikie tu kwa jirani usiombe kuishi nao au kufanya Kazi nao!!
 
Hilo ni jimbo la Chadema. Laana ya kuiba kura ziwatafune
Hilo Jimbo Toka limenza kuwa la Machadomo Kuna kipi Cha maana mlifanya? Wahaya ni Wahaya tuu kama kina Mwambukusi,ona Saizi Tibaijuka anavyohangaika kumchafua Rais Samia.

Ndio maana Samia alimtimua yuke aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Kwa tabia za kipumbavu na masifa yasiyokuwa na maana.
 
Nitaamini hayo kama Istanbul atathibitisha kwamba Bukoba hakuna Kitu.

Hata hivyo Mulugo wa Songwe aligalagala chini kuwapa sapoti kina mama
Hii ndo stend ndogo ya daladala inayojengwa hapo bukoba sehemu ilipokuwa stendi ya zamani...

Stendi kuu itajengwa kuanzia mwakani chini ya mradi wa tactic eneo la kyakairabwa 8km kutoka ilipo hii...

Sasa mabasi yote yamehamishiwa Kibeta 5km kutoka iliko hii...
Huu ni mchoro wa stendi ndogo ya daladala inayojengwa kwa miezi sita hapo Bukoba mjini...
11.JPG
 
Hii ndo stend ndogo ya daladala inayojengwa hapo bukoba sehemu ilipokuwa stendi ya zamani...

Stendi kuu itajengwa kuanzia mwakani chini ya mradi wa tactic eneo la kyakairabwa 8km kutoka ilipo hii...

Sasa mabasi yote yamehamishiwa Kibeta 5km kutoka iliko hii...
Huu ni mchoro wa stendi ndogo ya daladala inayojengwa kwa miezi sita hapo Bukoba mjini...View attachment 2784416
Kila siku Huwa mnatuonesha Michoro, Mwendazake alikuwaga hawapendi Wahaya 😁😁😁😁

Mpeni mbunge ushirikiano acheni utoto nyie.
 
Mbunge wenu Hadi analia hivi nyie ni watu wa namna gani? Tabia zenu kama za Warundi Kila mtu anaijua [emoji23][emoji23]

Ila uko sahihi jamii ya watu kama wenu inatakiwa kutumia Nguvu.Mikoa ya Kagera,Mbeya,Arusha na Mara bila mkono wa chuma haiendi.
Kwan warundi sio watu?

Bukoba inabidi uwe mkakamavu sana...pale kuna madhara makubws ya kuwa na wasomi wengi...kila mtu ana theories zake...kila mtu mjuaji...

Ukali ikiwezana unyongaji unahitajika kwenye miji kama hii maana wasomi by nature ni waoga waoga
 
Wew mama Anna alikufanya nini...mbona unamuandama sana...yeye hata hakufahamu...unaumia mwenyew tu....
Ulitaka tusiseme ukweli? Waulize watu wa kagera, wanalielewa hilo.

Wewe humfahamu kuwa mwizi wa taifa yule, au umesahau kilichomtowa uwaziri ni nini?
 
Kwan warundi sio watu?

Bukoba inabidi uwe mkakamavu sana...pale kuna madhara makubws ya kuwa na wasomi wengi...kila mtu ana theories zake...kila mtu mjuaji...

Ukali ikiwezana unyongaji unahitajika kwenye miji kama hii maana wasomi by nature ni waoga waoga
😆😆😆😆😆
 
Kila siku Huwa mnatuonesha Michoro, Mwendazake alikuwaga hawapendi Wahaya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mpeni mbunge ushirikiano acheni utoto nyie.
Subiri baada ya miezi sita...mkandarasi yuko site...
Kwanza a big win ni kufanikiwa kuondoa mabus na magari yote kutoka pale...sijui walifanyaje aisee
Maana ilikuwaga mgogoro mkubwa sana...

Sasa leo wako wanajenga na watu wako site
 
Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa miaka nenda rudi.

Baadhi ya miradi ambayo imekuwa ikikwamishwa na wanasiasa kwa maslahi binafsi ni pamoja na Stendi Kuu ya Mabasi Bukoba na Barabara ya Nyangoye ambayo imekuwa ikisababisha vifo na vilema kwa miaka nenda rudi.

Akiongea kwa machungu sana mpaka kupelekea kulia na kupiga magoti anadai kusaidia Bukoba kutekeleza hiyo miradi kwanini iwe NONGWA kwake? Kwanini aanze kupigwa majungu. Ameendelea kudai kuwa atahakikisha miradi hiyo inatekelezwa hata akinyimwa Ubunge 2025 lakini wananchi wakiona miradi hiyo watamkumbuka 'Ni Byabato Omsigazi Tukamwima Obubunge, chonka akabikola'(Ni kijana Byabato Tulimnyima Ubunge lakini aliifanya kazi)

Amesema aliomba ujenzi wa barabara ya Nyangoye, wataalamu wakaja wakafanya upembuzi yakinifu na kupendekezwa upanuzi wa barabara njia nne, na kaya 20 zitalipwa fidia ili kutekeleza mradi huo. Anashangaa kwanini anapigwa majungu!

Amesema kama ni Ubunge 2025 wauchukue lakini wanabukoba wasikwamishane bila Sababu. Ili kuonesha msisitizo wa anachokisema, Naibu Waziri huyo aliamua kupiga magoti na kulia, kabla ya kunyanyuliwa na wananchi.

Amezidi kusema wanabukoba tulimpa ubunge miaka mitano basi tumwamini tuache afanye kazi, hawezi kuacha kujenga Stendi, Barabara na Soko kisa atakosa Ubunge 2025. Anasema bora atekeleze hiyo miradi ili akose ubunge 2025 lakini atakumbukwa na wanabukoba. Kama shida ni ujenzi wa Stendi nzuri Bukoba Mjini.

View attachment 2784184
Mkoa wa KAGERA, una shida kubwa mno kiuongozi!! Huo mto unaopita katikati ya mji umewashinda kabisa kuuongeza kina sasa ni maafa kwa wakazi wote wanaoishi pembezoni mwa mto huo!! Kisa siasa chafu tu,
 
Mkoa wa KAGERA, una shida kubwa mno kiuongozi!! Huo mto unaopita katikati ya mji umewashinda kabisa kuuongeza kina sasa ni maafa kwa wakazi wote wanaoishi pembezoni mwa mto huo!! Kisa siasa chafu tu,
Upo kwenye mradi wa tactic unaoanza mwakani...
Huo mto utajengewa
 
Chalamila alivyowaambia huo Mkoa umejaa majungu na midomo sana mlikuwa mnajua ni mzaha?

Leo hii hata Ukiwa na Wahaya maofisini ni shida atupu.

Mkoa mwingine wenye majungu na mivutano Kila siku ni Mara na Mbeya hiyo Mikoa ni shida tupu.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Back
Top Bottom