Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

Mbona hayo ni kawaida kote dunia...
Kumbuka hata wakati wakazi wa kimara wakivunjiwa nyumba zao ule mtiti haukuwa wa nchi hii...

Isingekuwa ukali wa magufuli hata barabara ya kimara isingejengwa..

Ndo yanayotokea bukoba...barabara ya uganda inapaswa kuwa njia nne lakini bado watu wanalamika walio ndani ya hifadhi ya barabara
Ubabe wa Magufuli ulisaidia maendeleo wakati fulani.
 
Ubabe wa Magufuli ulisaidia maendeleo wakati fulani.
Ubabe huo huo unapaswa kutumika huko bukoba...ili maendeleo yapatikane hapo Bukoba...barabara kuu ya kuingia bukoba imechoka kweli na ina kona kali...

I hope wamevunja wenyew...hao watakao fungua kesi wauliwe kimya kimya...tumechoka na drama za bukoba
 
Ha ha haaa.
Tusifikie huko.
Kwa hali na migogoro ya Bukoba inabidi tufikie huko...

Mambo ya kutafuta haki yameikwamisha manispaa ya bukoba mpaka imegeuzwa laughing stock ....na wanaochekwa sio wakazi wa bukoba bali ni wahaya tu...si unajua akili ndogo za watanzania...angalia hata huu uzi...

Bukoba kukijengwa barabara nzr, stendi na soko basi utapendeza sana..
 
Dc alikua hapo Mzuri huyo huyo Byabato akamfigisu Leo Analia 😂😂😂😂

Naona anajinasua amtafute DC wa nyuma amwombe radhi
 
Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa miaka nenda rudi.

Baadhi ya miradi ambayo imekuwa ikikwamishwa na wanasiasa kwa maslahi binafsi ni pamoja na Stendi Kuu ya Mabasi Bukoba na Barabara ya Nyangoye ambayo imekuwa ikisababisha vifo na vilema kwa miaka nenda rudi.

Akiongea kwa machungu sana mpaka kupelekea kulia na kupiga magoti anadai kusaidia Bukoba kutekeleza hiyo miradi kwanini iwe NONGWA kwake? Kwanini aanze kupigwa majungu. Ameendelea kudai kuwa atahakikisha miradi hiyo inatekelezwa hata akinyimwa Ubunge 2025 lakini wananchi wakiona miradi hiyo watamkumbuka 'Ni Byabato Omsigazi Tukamwima Obubunge, chonka akabikola'(Ni kijana Byabato Tulimnyima Ubunge lakini aliifanya kazi)

Amesema aliomba ujenzi wa barabara ya Nyangoye, wataalamu wakaja wakafanya upembuzi yakinifu na kupendekezwa upanuzi wa barabara njia nne, na kaya 20 zitalipwa fidia ili kutekeleza mradi huo. Anashangaa kwanini anapigwa majungu!

Amesema kama ni Ubunge 2025 wauchukue lakini wanabukoba wasikwamishane bila Sababu. Ili kuonesha msisitizo wa anachokisema, Naibu Waziri huyo aliamua kupiga magoti na kulia, kabla ya kunyanyuliwa na wananchi.

Amezidi kusema wanabukoba tulimpa ubunge miaka mitano basi tumwamini tuache afanye kazi, hawezi kuacha kujenga Stendi, Barabara na Soko kisa atakosa Ubunge 2025. Anasema bora atekeleze hiyo miradi ili akose ubunge 2025 lakini atakumbukwa na wanabukoba. Kama shida ni ujenzi wa Stendi nzuri Bukoba Mjini.

View attachment 2784184
Nitaamini hayo kama Istanbul atathibitisha kwamba Bukoba hakuna Kitu.

Hata hivyo Mulugo wa Songwe aligalagala chini kuwapa sapoti kina mama
 
Mahakamani wataendaje? Wakati nj hifadhi ya barabara?

Hata huko mahakamani majaji wawe wanatumia common sense...

Hiz roho chafu za baadhi ya watu hapo Bukoba mjini huwa zinatoka wap....sheria ya kunyongwa itumike...watu wawe wanavyongwa kimya kimya...
[emoji23][emoji23] Usijali hili litafanikiwa japo kwa kipindi tulichopo naona siasa zimeanza kwa hiyo fitina zinaweza kuwepo
 
Move ya kumuweka biteko ndo nikajua maza anatoboa hadi 2030

Ndo lengo la kuwekwa hapo hilo
Wala hakuna shida hata bila Biteko atatoboa ,huyo atakuja kuongezea tuu kura maana walau ndio Waziri wa kutoka huko mwenye nafuu wengine mliwachagua vichwa maji hawaelewi wapiga majungu tuu.

Sasa kama Hadi huyu dogo mnampiga majungu unategemea nini?
 
😁😁Wana siasa bhana,mara Wapige magoti kwenye mikutano,wengine wanalia machozi,wengine wanapiga sarakasi bungeni,wengine wanachapana bakora kwenye mikutano,wengine wanazichapa kavukavu bungeni,wengine mpaka wanapiga push up kuonyesha ukakamvu wao.......
Wengine wanapiga pushapu wengine wanakula mahindi hadharani yaani ni blaaa blaaa tupu 😆😆😆
 
Wahaya kwa roho mbaya unafiki majungu ni nuksiiii sana!
Hakuna watu wagumu Kuishi nao kama wahaya!
Kuna mmja Yuko Ofisini ni mdada aisee keshawahamisha Jamaa wa 3 Kwa fitina,Kila mtu hamtaki lakini ukigombana nae unaondoka wewe.
Namba nyingine ni watu wa Mbeya (Wanyakyusa) na wafipa (Rukwa) wakali wa Majungu.
 
Ubabe huo huo unapaswa kutumika huko bukoba...ili maendeleo yapatikane hapo Bukoba...barabara kuu ya kuingia bukoba imechoka kweli na ina kona kali...

I hope wamevunja wenyew...hao watakao fungua kesi wauliwe kimya kimya...tumechoka na drama za bukoba
Mbunge wenu Hadi analia hivi nyie ni watu wa namna gani? Tabia zenu kama za Warundi Kila mtu anajua 😂😂

Ila uko sahihi jamii ya watu kama wenu inatakiwa kutumia Nguvu.Mikoa ya Kagera,Mbeya,Arusha na Mara bila mkono wa chuma haiendi.
 
Back
Top Bottom