Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

NAOMBENI MNIJUZE EURO TRUCK SIMULATOR NA AMERICAN TRUCK SIMULATOR LIPI JUU....????
funguka juu kivipi bob maana american imetoka mwaka huu ,unataka kuzishindanisha kwamba ipi kali au iliyotoka mapema
 
Hiyo nayo game !!! au upuuzi watu tumecheza game za hitman
 
Hiyo nayo game !!! au upuuzi watu tumecheza game za hitman
unaongea vitu gani mkuu , hii ni 2nd best game ya simulation nyuma ya flight simulataor,, hitman kwenye category yake sidhan hata ipo kwenye top 50 ya game kali
 
unaongea vitu gani mkuu , hii ni 2nd best game ya simulation nyuma ya flight simulataor,, hitman kwenye category yake sidhan hata ipo kwenye top 50 ya game kali
Mm kila siku uwa nawaambia watu kutumia AKILI zio mambo ya top ten hiyo siyo game kwani ukiambiwa mwanamke mzuri kupita wote duniani ni furani nikweli mbona mingi mibovu sana mimi siyo limbukeni .kwanza MTU akisema hitman alipo 50 bora sishangai bilashaka hata kulicheza aliwezi ndiyo sababu achana na magemu uchwara wewe
 
unaongea vitu gani mkuu , hii ni 2nd best game ya simulation nyuma ya flight simulataor,, hitman kwenye category yake sidhan hata ipo kwenye top 50 ya game kali
Kama vp nikupe siri ya kutambua magemu mazuri ni siri kubwa sana inaweza hata kupindua serikari[emoji452] [emoji452]
 
dah mkuu hii lugha gani asee , sijaelewa kitu kabisa
 
NAOMBENI MNIJUZE EURO TRUCK SIMULATOR NA AMERICAN TRUCK SIMULATOR LIPI JUU....????

Mkuu ETS2 ipo juu (kwa ujumla) kuliko ATS isipokuwa kwenye ATS scenery in details za kutosha kuliko ETS2, Graphics engine kwenye ATS sio nzuri kama ETS2 kwa hiyo kwenye kompyuta hiyo hiyo moja utacheza vizuri ETS2 lakini ATS inaweza ikawa inakwamama kidogo especially ukiwa unarecord. Pia ETS2 ni ya siku nyingi na ina updates nyingi kuliko ATS.
 
yeah...kwa sasa natumia 1.21...hiyo ya zamani niliitumia mda kidogo...
mkuu nimedownload hili ila limezingua kila nikijaribu kuinstall linagoma shida nn au kuna mahala nakosea
 

Hii game inaitwaje mkuu
 

ETS ni game lip mkuu?? Euro simulator??
 
NAOMBENI MNIJUZE EURO TRUCK SIMULATOR NA AMERICAN TRUCK SIMULATOR LIPI JUU....????
naipenda ETS2 kwa kua iko versatile sana na ina mods nyingi mno..imagine na drive globetrotter fx12 yenye V8 3900HP engine...8x4 chassis ..ikichanganya speed inafika mpaka 350kph ......kikubwa zaidi naipenda kwakua hai crash na cheat engine..ATS uki apply cheat engine na game ndo limeishia apo
 
version gani hio ya ats inacrash kwa cheat engine mbona mi nadunda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…