Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Wewe nawe ni mvaa suti nyeusi mahakamani au ni government official?? Mbona umeelewa kwamba hajavunja sheria?? Huoni wanavyomshangilia? Wamemuelewa hao, usiwasemee, waache na jambo lao tr 28 October.
 
Unachokiongea I used to think of it everday ..hawa jamaa wanamikakati sana..trust me mechi ya simba na yanga itakuwa wamenusa Lissu ataenda uwanjani wakaona waisogeze bila sababu za msingi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni kweli hii inaweza kutokea sababu timu zote simba na yanga ziliwahi kupata majanga ya utawala huu, je unakumbuka yaliyowapata Mo Dewji na Manji? Naomba tusichukie kwenye hili maana mie nakumbushia matukio haya
 
Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
Oyoo; jiandae shoo la bure taifa jmosi... mimi saa 12 nipo pale kuwahi nafasi ..mondi, jux, nandi, kondeboy ndani kwa nyumba.
 
Meko ana wakati mgumu sana uchaguzi huu. Hakutarajia kupata upinzani kama huu hata kidogo.
 
Lisu ni debe tupu hapa kariakoo watu walikuwa wanamshangaa kisha wanaendelea shughuli zao!

Jamaa anajitahidi apate attention ila ndio hivo hana mvuto
 
Lisu ni debe tupu hapa kariakoo watu walikuwa wanamshangaa kisha wanaendelea shughuli zao!

Jamaa anajitahidi apate attention ila ndio hivo hana mvuto

Hahahahahahahaha bwahahaha kwakwakwakwaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…