Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Hana jipya - tarehe 28/10 CCM ushindi ni mapema sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ataua watu kwa presha.Nimekwambia kwa Lissu hakuna kujiliwaza, ni sindano tu.
Wavumilie tu. Lissu hata akienda chooni kuna watu roho zinawauma.Kuna watu wanateseka sana wakimuona Lissu popote! Jamani huko Kariakoo kaenda kuhemea tu kwani yeye hana tumbo! Mbona JK pia huwa nakutana nae akihemea pale mlimani City?
Hata Nyerere alicheza hadi bao na wananchi, hii ni hulka kwa viongozi wote wanaoamini katika utu na ubinadamu kwamba cheo chochote hakiwezi kukufanya ukawa binadamu na nusu, bali utabaki binadamu kama walivyo wengine wote!
Vumilia tu. Hamna namna tena.Lowasa aliechamgamka
This is politics.Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
Bahati nzuri nlikuwepo kariakoo! Lisu ni wa kawaida watu wakikuwa wanamshangaa kisha wanaendelea na shughuli zao.Nimekwambia kwa Lissu hakuna kujiliwaza, ni sindano tu.
Bahati nzuri nlikuwepo kariakoo! Lisu ni wa kawaida watu wakikuwa wanamshangaa kisha wanaendelea na shughuli zao.
Ama kweli watanzania tuko nyuma sana kimaisha! Yaani unataka kutwambia kwenda sokoni kununua nyanya ni kazi ya mke tu? Kwa nini unasema amezeeka kwa kwenda sokoni? Sasa ulitaka fanye nini, yeye si raisi au waziri ambae anahitajiwa kuwa ofisi masaa yote, yeyey ni mwananchi huru na ana haki ya kwenda popote, sasa inakuwaje ni kosa mtu kwenda sokoni ikiwa muda una mruhusu?Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
Tuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.
Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.
Baadae nasubiri mapovu ya mahera au jeshi la polisi, utasikia; "TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI"
The guys are not only clever, but are bright, neat, and intelligent. They think many steps ahead of their opponents. They are for a win game. Bravo CDM leaders. You are playing the game neatly.Tuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.
Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.
Baadae nasubiri mapovu ya mahera au jeshi la polisi, utasikia; "TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI"
Atataka naye kutinga kwenye mwendokasi na Kariakoo kumuiga Lissu THE GREATEST. 😂😂Napiga picha Jiwe huko Gereji
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwa kupanda basi na kwenda kariakoo?The guys are not only clever, but are bright, neat, and intelligent. They think many steps ahead of their opponents. They are for a win game. Bravo CDM leaders. You are playing the game neatly.
Mbona unajitangaza sana, kulikoni, nawe ni mgombea, au mwakilishi wa mgombea?Mimi sina chama ila huyu Lissu amepotoka hatafika mbali kisiasa
Jamaa inaonekana unateseka sana. Kwan ww ni RC au DC au unacheo chochote ambacho haujasomea apo serikalini.Lisu ni mbumbumbu hajui siasa!
Humo anamo pita wenzie walishapiga kitambo!
Kama hii ndio strategy yake ya ushindi, nawapa pole
Lisu katokea Iringa?Hahahahaha kutoka Iringa hadi kariakoo bwahahahahahahahaha
Maandishi yako yanaonyesha una maumivu sana![emoji3][emoji3][emoji3]Kwa kupanda basi na kwenda kariakoo?
Lisu katokea Iringa?
Maandishi yako yanaonyesha una maumivu sana!
Mbona ww ameteka attention yako manake kila uzi wa Lissu umo......!?Lisu ni debe tupu hapa kariakoo watu walikuwa wanamshangaa kisha wanaendelea shughuli zao!
Jamaa anajitahidi apate attention ila ndio hivo hana mvuto
acha unafkiMimi sina chama ila huyu Lissu amepotoka hatafika mbali kisiasa