Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Kuna watu wanateseka sana wakimuona Lissu popote! Jamani huko Kariakoo kaenda kuhemea tu kwani yeye hana tumbo! Mbona JK pia huwa nakutana nae akihemea pale mlimani City?

Hata Nyerere alicheza hadi bao na wananchi, hii ni hulka kwa viongozi wote wanaoamini katika utu na ubinadamu kwamba cheo chochote hakiwezi kukufanya ukawa binadamu na nusu, bali utabaki binadamu kama walivyo wengine wote!
Wavumilie tu. Lissu hata akienda chooni kuna watu roho zinawauma.
 
Nimekwambia kwa Lissu hakuna kujiliwaza, ni sindano tu.
Bahati nzuri nlikuwepo kariakoo! Lisu ni wa kawaida watu wakikuwa wanamshangaa kisha wanaendelea na shughuli zao.
 
Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
Ama kweli watanzania tuko nyuma sana kimaisha! Yaani unataka kutwambia kwenda sokoni kununua nyanya ni kazi ya mke tu? Kwa nini unasema amezeeka kwa kwenda sokoni? Sasa ulitaka fanye nini, yeye si raisi au waziri ambae anahitajiwa kuwa ofisi masaa yote, yeyey ni mwananchi huru na ana haki ya kwenda popote, sasa inakuwaje ni kosa mtu kwenda sokoni ikiwa muda una mruhusu?
 
Tuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.

Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.

Baadae nasubiri mapovu ya mahera au jeshi la polisi, utasikia; "TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI"

Naunga na wewe hapo vile vichwa vikakaa pamoja ni lazima uogope na sijui kwanini Lumumba hawalijui hili..
 
Tuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.

Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.

Baadae nasubiri mapovu ya mahera au jeshi la polisi, utasikia; "TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI"
The guys are not only clever, but are bright, neat, and intelligent. They think many steps ahead of their opponents. They are for a win game. Bravo CDM leaders. You are playing the game neatly.
 
The guys are not only clever, but are bright, neat, and intelligent. They think many steps ahead of their opponents. They are for a win game. Bravo CDM leaders. You are playing the game neatly.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwa kupanda basi na kwenda kariakoo?
 
Lisu ni mbumbumbu hajui siasa!

Humo anamo pita wenzie walishapiga kitambo!

Kama hii ndio strategy yake ya ushindi, nawapa pole
Jamaa inaonekana unateseka sana. Kwan ww ni RC au DC au unacheo chochote ambacho haujasomea apo serikalini.

Wala usiwaze Lisu Hana ubaguzi kwa kukupa kazi mpaka uwe na kadi ya chama.
Izo ni tabia za washamba.

Kama umesoma Sasa inabidi umpe Kura yako Lisu maana utaona thamani ya elimu yako, hautafanyiwa maamuzi na mwanasiasa katika nafasi yako.

Kama umesoma hautakatwa 15% badala ya 8% na bodi ya mikopo, Kama haujasoma waonee huruma ndugu zako wanaokatwa kwa lazima 15% badala ya 8% yamakubaliano.

Shetani Hana rafiki
 
Lisu ni debe tupu hapa kariakoo watu walikuwa wanamshangaa kisha wanaendelea shughuli zao!

Jamaa anajitahidi apate attention ila ndio hivo hana mvuto
Mbona ww ameteka attention yako manake kila uzi wa Lissu umo......!?
 
Back
Top Bottom