Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

Ao Wazanzibar ndiyo usipime na wachawi alafu wana hila sana sehemu za kazi! Usiombe kufanya kazi na mpemba alafu akawa na chuki naww utaondoka we mwenyewe ofisin kwa kuacha kazi! Na hatari ao watu! Kule Pemba wanapango lao ilo ata ukienda kuomba kupata Urais unapata usije shangaa kusikia bi tozo ashawahi kwenda kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo, P.Mpango (PhD) hawezi kuongea ujinga kama huo, usitake kumfananisha na kituko chenu.
Kwani PHD ndio nn? Uchawi unafanywa na watu wote mpaka viongozi wa dini wanashiriki uchawi. Watu wasiokuwa na Elimu, Ndio uwaamini wasomo, lakini wasomi ni watu kama wewe, wanatamani na Wana roho kama wengineo, kwa iyo uchawi wanafanya kama kawaida. Na kuna wengineo wamepata elimu kichawi chawi
 
Sasa wapemba na huo uchawi wao mbona kila siku urais wa Zenji wananyanganywa na uchawi wao haujawasaidia kitu?
 
Tunaishi nchi gani zaidi ya hapa nyumbani Tanzania?!!!!

Hivi tunajifanya kutoona kuwa huko mitaani kumejaa wataalamu wa TIBA ZA ASILI?!!!!

Kama wewe si mteja wao je wengine nao si wateja?!!!!

Katika vibiashara vyetu tu vya kuuza KAHAWA NA DAGAA tunayaona mengi ya KUSTAAJABISHA huku wakitamba kuwa kibiashara hakiendi bila ya NGUVU ZISIZOONEKANA.......

MAWAZIRI NAO NI WANANCHI WA TANZANIA NA WENGINE WAMETOKEA HALI ZA CHINI MNO

#Siempre JMT🙏
 
Ccm ndiyo nyumbani kwa wachawi na wacheza madogori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…