Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

Wala
Halafu MATAGA wala hawajali,they simply don't care.Wao kila kuitwapo leo wanapandisha nyuzi mpya kumsifia fisadi!🤡🤡🤡
Wala sio MATAGA hao ni msoga gang,
Mataga walishatulia na sukuma gang kwa sasa wanaangalia game la msoga kusifia bila kutumia akili.
Toka kauli ya juzi kuwa kila mtu ale kwa kamba yke naona bado aibu imewashika wametulia wana angalia upepo.
 
Mtu anajiingiza kwenye maagano na viapo, kisa cheo na madaraka tu. Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie mimi mjawako hofu ya kukujua na kuamini na kukuabudu wewe pekee
Siku zote maskini ndiyo waumini wa kweli kwa Mungu
 
Ccm bila uchawi hawawezi kuishi
 
Kuna siku watakuja kuanguka kwenye mapaa ya ikulu au kule Bungeni ,ivi yule Bundi bado hajazaa ?
 
ku quote mistari ya nyimbo za kina Khadija Kopa
....wana mistari hatari hao, acha kabisa.

Mfano, kuna dada anaitwa Rahma Machupa na kibao chake "Hamsemi Yakaisha"
Humo kuna mistari kama...
'Anayenisalimu namjibu, tena kwa heshima zote,
Anachenichukia siajabu, maana siwezi kupendwa na wote'.

Pia kuna mistari kama...
'Binadamu tantarila, vinywa vimejaa fitina,
Badala ya kupenda kula, nyie mwapenda kusema'.
 
Malozi yamejaa sana huko na yanaumiza watu wengi........sema wengine tulishaweka tumaini letu kwa Mungu Mwenyezi hatujali kama kuna malozi mahala au laa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…