Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

CCM utawaweza. Enzi zile, Mombo kulikuwa na Mzee moja anaitwa Shempasi. Hakuna gari ya Waziri ilikuwa inapita barabara ile bila kusimama kwa yule mzee.

Majimarefu mwenyewe kilichomuingiza mjengoni ni huo Uprofesa wake kwenye hiyo habari.
 
Rais fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye Serikali yake kupitia TV ya Taifa hadi credibility ya kumfunda yeyote yule.

View attachment 2080180
Duh..kauli ya rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania. Anaruhusu mawaziri kula kufuatana na urefu wa kamba zao. Eti anajua wanapata 🙄. Yaani rushwa au upigaji. Hapo kwa kweli ni mzaha mkubwa kwa kiti cha urais. Kile kiapo cha urais kumbe kinaweza kuchezewa tu. Watu wanavimbiwa kwa kula hela ya umma halafu ameketi nao kwenye baraza la mawaziri. Ukivimbiwa lazima ujambe ovyo 🤣🤣Duh. Rip jpm. Tutakukumbuka.
 
Uchawi ni dini yetu ya asili. Usikashifiwe. After all,there is Black magic and white magic . Inategemea nia njema na nia ovu.
Sidhani kama kuna tatizo la watu kwenda kwa waganga. Nadhani,Mwafrika,watu maskini,wana inherent ability ya uchawi .
Waafrika wanga asili yak uchawi. Uchawi basically ni visualization,kuwa na taaswira ya mambo.
 
Mchawi ni January Makamba ,hata Majaliwa analijua hilo
Huyu inabidi afungiwe safari ya congo mapema anasaulika, Tanzania hakuna uchawi. Kuna viongozi wanachukua likizo wanaenda lala huko maporini uchi wa mnyama wakipikwa yaani Rais akifika eneo lake ni sifa mwanzo mwisho.

Kwa experience niliyoiona hakuna Rais aliyerogwa kama Hayati Magufuli, ni Mungu tu alimsimamia sema haikuwa ridhiki wakamshinda akatwaliwa..
 
Tatizo lipo ili mtu awe waziri lazima awe mbunge, kuna watu/watumishi wengi wazuri kwa sifa za kiutendaji hawapo bungeni kwa sababu tu kura hazikutosha na kwenye sanduku la kura za maoni wajumbe walifanya yao kwa chama kilichopo madarakani, ni muda muafaka kwa chama kuandaa wagombea wazuri wenye sifa sio ile ya kujua kusoma na kuandika ambao wapo wengi bungeni mpaka Rais anashindwa kufanya best selection.
 
Swali sasa ni vipi wameteuliwa?
 
Kama yule jenista Mhagama au Ndalichako hakosi ndumba
 

Yaani inaonekana ni vita uko serikalini…mkanyagano…kwa hali hii watanzania kutoboa tutasubiri sana
 
Mudi futa izi huyu unaandika vitu ambayo havionekani na havipo .saiz hatutudaganyiki na
 
Anafundishwa na dada yake Mwamvita , mh January bila Mwamvita na mama yao ni mtupu kwenye Ndumba chocho zote za burundi, Congo , Nigeria , Ghana , usambaani Mwamvita ndio master
Hasa hasa Congo DR Mkuu na Kwao TA.
 
Anafundishwa na dada yake Mwamvita , mh January bila Mwamvita na mama yao ni mtupu kwenye Ndumba chocho zote za burundi, Congo , Nigeria , Ghana , usambaani Mwamvita ndio master
Du kumbe kale kadada ni katumwa ka ulozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…