dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,456
- 1,672
Lakini msisahau wengine wanatupa watoto..[emoji37]Kwa sababu wanazaa kwa uchungu ndio maana wanakuwa na huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini msisahau wengine wanatupa watoto..[emoji37]Kwa sababu wanazaa kwa uchungu ndio maana wanakuwa na huruma
Nenda wodini kamuulize, au labda da'Mange analo jibu.Yeye kamshukuru Mh..sasa unajua ka mshukuru kwa lipi?
Lisu alikuwa hasali sasa hivi anasali sana tena sana anajua kushukuruhahahahaha Bawacha mwaka huu mtakuwa vicha kila aliye ona ile clip amesikia wazi kabisa baada ya makamu wa Rais kusema Rais anakupa pole sana na Lissu akasema mwambie Rais nashukuru na nina watakia kila la kheri kwenye kazi,
We jamaa inaonesha nimroho sana, mchoyo, alafu ni mtu uliye lelewa kwenye familia ya kimasikini... Alafu hyo tabia umefunzwa na wazazi wako huwezi mtu mzima ukazungumzia chakula... Yan kula kula inamaanisha chakula kwako ni kitu cha ajabu sana na cha thamani sana unaweza wanyima ata wageni..Kilucyowapeleka Nairobi nini kama wao sio manesi wala madokta na kukaa miezi bila kupeleka walau documents za mgonjwa ubalozini .Hao walienda kula chakula cha mgonjwa yaani michango na ruzuku.Ni kama kumtuma MTU ampelekee pilau mgonjwa aliyelazwa halafu anaila.Mchungaji Msigwa ni waziri kivuli wa mambo ya nchi za nje hivi hajui taratibu za MTU kusafri nje ya nchi hadi ageuze Kenya sehemu ya kujipiga selfie yeye na waziri kivuli wa mambo ya Ndani godbless lema ambaye on waziri kivuli wa Ndani ambako mambo ya immigration huhusika naye hajui passport ukienda nchi nyingine unatakiwa ufanyaje na yeye godbless lema anaishia kujipiga selfie Nairobi!!! Hawa ni mawazir kivuli koko.
mchawi huwa ndo wa kwanza kufika msibani nj'omba...Kuna shida sana jamani. Asinge kwenda kumwangalia kungekuwa na maneno. Kaenda. Matusi Kwa jembe. Utadhani zile risasi zilivyatuliwa na jembe. Mkuu ndiye aliyekuwa wa kwanza kutoa pole... Bado tu tunamtuhumu
Nini kilimsibu Possi mkuu?Now naamini abdallah possi hakujiuzuru kwa kupenda
According to Wewe lakiniSawa ngoja tuone.... Lakini ukiingalia vizuri CHADEMA toka kuzaliwa kwake kukua hadi sasa.... Sidhani kama kuna mtu anayefaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA zaidi ya MBOWE....
LABDA LISU ANGALAU ANAELEWEKA... TOFAUTI NA HAPO HAKUNA
Mama anakizazi na anaujua uchungu na maumivu ya kumkuza mtoto hadi kufikia hatua aliyo fikia lissu kwa mwanamke yeyote aliye vuja damu lazima aumie kwa kila unyama na ukatili unao fanywa na wataka madaraka kwa pupa hasa kwa watu wasio na hatia kabisa wenye tuhuma za kutengeneza. Mungu awalaani wote walio shiriki kwa namna yeyote katika hili.Mara nyingi akina mama wana roho ya utu; hongera mama yetu umedhihirisha
Sawa... Ni kutokana na mawazo yanguAccording to Wewe lakini
Poa poa MkuuSawa... Ni kutokana na mawazo yangu
Hivi paskali unaweza kwenda tembelea mtu ambaye bosi wako kamwita msaliti! Pindi asingeweza kwenda! Unakumbuka wana kamati ya walipotaka kumtembelea mwanakamati mwenzao lema mukulu alitamkaje?Huu ndio utu na ubinaadamu, Mungu ambariki sana huyu mama.
Yaani huyu balozi wetu Dr. Pindi Chana, she used to be a very confident lady, sijui confidence yake imepotelea wapi hadi kushindwa kumtembelea Lissu siku zote hizi, lazima Balozi ajisikie aibu, yeye yuko Nairobi kumtembelea Mtanzania, Mbunge, Rais wake wa TLS (Pindi ni Lawyer), Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ni mpaka VP aje ndipo na yeye aende kumuona Lissu!.
All and all, better late than never.
Wamefanya uungwana mkubwa.
Paskali.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Poa poa Mkuu
Hilo ni li KAA tena lile Kongwe. .achana naloYani ww lijamaa huwa nikionaga komentzako tu .nasema hili lishetani tena hilo .Mungu anisamehe kama huwa nakuhukum kukuona kama shetani kama kweli ww nibinadam mwenzangu.
Yule jamaa mwenye frustration akisikia mbona atakangua chini