Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Ahahaha naona kile kipara Leo kitakwanguliwa chini mithili ya nguruwe pori akifakamia mihogo shambani..
Nawaza Tu lakini
Mkuu heshima kwako. .
Ngoja niendelee kucheka sio kwa dongo hili jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani aliambiwa rais kamsalimia hadi arudishe majibu?

Maskini mama Samia anajitahidi lakini ndio hivyo tena hajatoka penye ziwa zone
 
Kwani Lissu hana namba ya Rais? Ampigie cm amshukuru. Neno la mama Samia amemwita mke wa Lissu wifi, inapendeza pia, kumbe lissu na Samia ni mtu kaka na dada.
 
Haya ni maneno ya shujaa aliye lala kitandani km chache kutoka kasarani stadium kenya.tindu antipas lisu.nisauti ya kinyonge kukosa matumaini.chadema kwa kweli sijuii ni semaje! Eti nichama kinachi jianda kuchika madaraaka thubutu.kwa kulia Lia hivyo hata mwenyekiti wa Kijiji itakuwa ndoto.
Rudi shule kwanza,
Mpango wa Elimu Kwa Walioikosa (MEMKWA) bado upo, hujachelewa
 
Haya ni maneno ya shujaa aliye lala kitandani km chache kutoka kasarani stadium kenya.tindu antipas lisu.nisauti ya kinyonge kukosa matumaini.chadema kwa kweli sijuii ni semaje! Eti nichama kinachi jianda kuchika madaraaka thubutu.kwa kulia Lia hivyo hata mwenyekiti wa Kijiji itakuwa ndoto.
We sio bure
Haya ni maneno ya shujaa aliye lala kitandani km chache kutoka kasarani stadium kenya.tindu antipas lisu.nisauti ya kinyonge kukosa matumaini.chadema kwa kweli sijuii ni semaje! Eti nichama kinachi jianda kuchika madaraaka thubutu.kwa kulia Lia hivyo hata mwenyekiti wa Kijiji itakuwa ndoto.
 
Wamerudi wamenenepa.unataka kusema hawa ulowataja wananjaa yachakula kule ndo walikuwa wananakula vizuri .watu walikuwa wanamuuguza nduguyetu kapigwa marisasi kibao .ww unaropoka eti wamerudi wamenenepa .
Hivi wakiambiwa watu wenye akilitimamu watoke mbele naww utatoka ?
Kiluchowapeleka Nairobi nini kama wao sio manesi wala madokta na kukaa miezi bila kupeleka walau documents za mgonjwa ubalozini .Hao walienda kula chakula cha mgonjwa yaani michango na ruzuku.Ni kama kumtuma MTU ampelekee pilau mgonjwa aliyelazwa halafu anaila.Mchungaji Msigwa ni waziri kivuli wa mambo ya nchi za nje hivi hajui taratibu za MTU kusafri nje ya nchi hadi ageuze Kenya sehemu ya kujipiga selfie yeye na waziri kivuli wa mambo ya Ndani godbless lema ambaye on waziri kivuli wa Ndani ambako mambo ya immigration huhusika naye hajui passport ukienda nchi nyingine unatakiwa ufanyaje na yeye godbless lema anaishia kujipiga selfie Nairobi!!! Hawa ni mawazir kivuli koko.
 
Mkuu tindu antipas lissu ni mwenyekiti wangu ajaye.....Bila hivyo
Sawa ngoja tuone.... Lakini ukiingalia vizuri CHADEMA toka kuzaliwa kwake kukua hadi sasa.... Sidhani kama kuna mtu anayefaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA zaidi ya MBOWE....
LABDA LISU ANGALAU ANAELEWEKA... TOFAUTI NA HAPO HAKUNA
 
Na hapo hapo amemshukuru sana kupitia Mama Samia. Amemuomba amfikishie Mh. Rais asante zake za dhati. Nyie makarai endeleeni kuuguza maumivu ya kata moja na kumsikiliza dada yenu Mange.
Yeye kamshukuru Mh..sasa unajua ka mshukuru kwa lipi?
 
Hapana ila Lissu alimwambia Samia 'msalimie Rais mwambie nashukuru sana', wenye akili tu ndio wataelewa Lissu alimaanisha nini.
hahahahaha Bawacha mwaka huu mtakuwa vicha kila aliye ona ile clip amesikia wazi kabisa baada ya makamu wa Rais kusema Rais anakupa pole sana na Lissu akasema mwambie Rais nashukuru na nina watakia kila la kheri kwenye kazi,
 
Naisikia sauti ya mukulu! "Na wale wengine ati walijaribu kutaka kwenda gerezani kumuona lema"! Mama amwtumia busara kubwa sana mimi naamini mukulu hajapendezwa!
 
ibada njema kutembelea wagonjwa...lakini vipi kama kusingekuwa na sherehe za kuapishwa Uhuru?
..Kuna hadithi moja nilisoma hapo zamani. Kulikuwa na daraja moja sehemu fulani, ambalo Mtu huvuka akielekea Hospitalini. Pale darajani kulikuwa na JINI/JITU ambalo LINAZUIA watu kuvuka. Kulikuwa na kengele mwisho wa Daraja ambayo ililia kama Mtu Akikanyaga hata ncha ya daraja kisha Lijitu linakwambia: RUDI ULIKOTOKA. Ilitokea wakati fulani MAMA MMOJA alitaka kumpelekea Mgonjwa wake chakula Hospitalini. Akafikiria NAMNA ya KUVUKA Daraja. Basi, akakanyaga ncha ya daraja akielekea/akiangalia anakotoka. Jitu liliposikia kengele likamwamuru: RUDI ULIKOTOKA. Basi YULE AMA "akarudi", kumbe akavuka. Akaenda kumwona Mgonjwa....
 
Back
Top Bottom