Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
alijitumbua mwenyewe tukakataa. Haiwezekani.Hivi huyu hawezi kutumbuliwa?[emoji275]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alijitumbua mwenyewe tukakataa. Haiwezekani.Hivi huyu hawezi kutumbuliwa?[emoji275]
Nenda kamwambie Rais "NASHKURU"!! Unaiona ni kauli nyepesi nyepesi tu. TL hana woga wa kijinga kiasi hicho, ameshukru kwa aliyotendewa.Wadau
Tundu Lissu leo tarehe 28/11/2017 amemshukuru sana JPM kwa salaam alizomtumia za kumtakia kila la kheri kupitia kwa VP Samia Suluhu.
Source: Habari Leo
Wenye akili ndio wataelewa mkuuNenda kamwambie Rais "NASHKURU"!! Unaiona ni kauli nyepesi nyepesi tu. TL hana woga wa kijinga kiasi hicho, ameshukru kwa aliyotendewa.
yuko tofauti kabisa na bosi wakehanaga roho ya kishetani huyu mama
Real...Yah inawezekana hizi ndizo personal problems, hawezi kukutana na mtu anayemtuhumu.
Mimi nimeishia hapo Mkuu, naamini wenye akili timamu wamemuelewa vizuri TL.Wenye akili ndio wataelewa mkuu
Ningekuwa Lissu nisinge shake hands na Pindi kabisa,na bila kupepesa macho ningemuuliza 'where have you been?'.Huu ndio utu na ubinaadamu, Mungu ambariki sana huyu mama.
Yaani huyu balozi wetu Dr. Pindi Chana, she used to be a very confident lady, sijui confidence yake imepotelea wapi hadi kushindwa kumtembelea Lissu siku zote hizi, lazima Balozi ajisikie aibu, yeye yuko Nairobi kumtembelea Mtanzania, Mbunge, Rais wake wa TLS (Pindi ni Lawyer), Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ni mpaka VP aje ndipo na yeye aende kumuona Lissu!.
All and all, better late than never.
Wamefanya uungwana mkubwa.
Paskali.
Baada ya Raisi kupewa information ya kuwa hatapewa mapokezi mazuri na kuna watu wamepangwa kumdhalilisha, na baada serekali ya kenya kushindwa kuahidi kuhakikisha maandalizu stahiki, na pia baada ya kujulikana kuwa kuna baadhi ya wanasiasa wa kenya wanaomuunga mkono Uhuru, wanamipango ya kumtuukuza Lowassa ili hali wamuudhi Raisi Magufuli.Tokea alhamis ikulu ilitoa press release ilijulikana yeye ndiye angehudhuria ratiba imebadilika kwa tweet yake ya leo usiku.
Sio watanzania wote bali hayo makarai tu. Ndio maana yanatwangwa kwenye uchaguzi kwa sababu yanapenda propaganda potofu za da'Mange. Na yataendelea kugalagazwa chaguzi zijazo kama hayatajitafakari kwa kina.