Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Mimi nimefarijika kiasi kuona kiongozi namba mbili kitaifa kwenda kumuona Mh Lissu.

Ila nina ulakini na kumuona kwake kwa sababu moja tu,ambayo hakuwa na dhamira ya dhati ya kwenda kumuona Lissu hospitali bali alichepuka baada ya kumaliza mambo yake ya msingi yaliyompeleka huko.
Kama nimekosea nisamewe bure.
 
..kuna mtu anakwepa kwenda Nairobi as long as TL yuko huko.

..nafsi inamsuta kumtembelea TL au hata kutambua kwamba yuko hospitali anajiuguza.
 
Ndo mana Mzee kipara ka sola panel hajaenda Nairobi coz ingemlazimu kwenda kukutana na hasimu wake
 
Mke wangu anitume na wewe unitume, nimeshakuambia ni Financial Times inatosha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijaona hiyo hbr ndo maana nkaomba ulete
 
Bora nusu shari kuliko shari kamili
Kama kachepuka kumuona vizuri kuliko kuto kwenda kumuona maana wtz wangeoji kulikoni pua na mdomo, Ila vip Mh Baloz na ndio siku yake ya kwanza leo kumuona mgonjwa ?[HASHTAG]#Akili[/HASHTAG] zangu
 
Best huyo mwenye roho mbaya kuliko hata shetani hawezi kumtuma. Kama ni kumtuma kwanini asubiri baada ya miezi mitatu na nusu Best!?

Wala hatofukuzwa ..... katumwa kwenda.
 
Siri imevuja, ndio maana alisema hataenda kwa sababu zake binafsi...
Ninaimani kabisa endapo kama angeenda asingeweza kamwe kufanya alichofanya huyo mama..
Na ni lazima suala hilo lingezua mjadala mkubwa na mzito sana...
Yah inawezekana hizi ndizo personal problems, hawezi kukutana na mtu anayemtuhumu.
 
Mimi nimefarijika kiasi kuona kiongozi namba mbili kitaifa kwenda kumuona Mh Lissu.

Ila nina ulakini na kumuona kwake kwa sababu moja tu,ambayo hakuwa na dhamira ya dhati ya kwenda kumuona Lissu hospitali bali alichepuko baada ya kumaliza mambo yake ya msingi yaliyompeleka huko.
Kama nimekosea nisamehe bure.
Uko sahihi kabisa, na baada ya kumuona Lissu,nafsi yake imeumia sana sana
 
Watu waliokataa kumlipia hospital bills leo wanaenda kumuona,lissu lazima amempa salamu za kurudisha
 
Ama ukweli sisi Watanzani ni watu wajinga sana. Hivyo mnafikiria Raisi hana hiyo ratiba ya makamu wake, na siajabu wameipanga wote. This is a planned visit.
Tokea alhamis ikulu ilitoa press release ilijulikana yeye ndiye angehudhuria ratiba imebadilika kwa tweet yake ya leo usiku.
 
[emoji120][emoji120] Mungu hamtupi Mwenye Haki Wake !!! Ole wa Mtu yule auaye/Fanya vilema/taabisha binadamu walioumbwa na Mungu. Mungu mtetezi kumbuka majonzi ya wanaolia na hayo yote na waadhibu Watesi. God heal Our Br TL. Get well soon.
 
Back
Top Bottom