Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

hahahahaha Bawacha mwaka huu mtakuwa vicha kila aliye ona ile clip amesikia wazi kabisa baada ya makamu wa Rais kusema Rais anakupa pole sana na Lissu akasema mwambie Rais nashukuru na nina watakia kila la kheri kwenye kazi,
Lisu alikuwa hasali sasa hivi anasali sana tena sana anajua kushukuru
 
We jamaa inaonesha nimroho sana, mchoyo, alafu ni mtu uliye lelewa kwenye familia ya kimasikini... Alafu hyo tabia umefunzwa na wazazi wako huwezi mtu mzima ukazungumzia chakula... Yan kula kula inamaanisha chakula kwako ni kitu cha ajabu sana na cha thamani sana unaweza wanyima ata wageni..

Kwakweli nimesikitishwa sana mtu mzima kama wewe si ajabu unafamilia kwenye issue nzito kama hii ukazungumzia chakula... Mimi nimelelewa mazingira ya kutoona chakula kama ni kitu kikubwa sana ata kama mtu akila... Mtaani kwetu kula kwa jirani naye jirani kula kwetu ilikua kitu cha kawaida.... Ata kuombana mboga tuu...

Mi nakushauri tuu hiyo tabia usije ambukiza na watoto wako... Ndio nyie wenye afya kubwa na vitambi huku mkeo na watoto wakiugua utapiamlo... Tabia ya uchoyo uache... Yan kuzungumzia mtu kula ni jambo LA aibu sanaa
 
Kuna shida sana jamani. Asinge kwenda kumwangalia kungekuwa na maneno. Kaenda. Matusi Kwa jembe. Utadhani zile risasi zilivyatuliwa na jembe. Mkuu ndiye aliyekuwa wa kwanza kutoa pole... Bado tu tunamtuhumu
mchawi huwa ndo wa kwanza kufika msibani nj'omba...
ile tweet mfalme aliiandika kinafiki tu, (kwanza nina mashaka kama ni yeye kweli aliandika), huku akichekelea tu sababu alikuwa anajua kazi aliyoagiza watu wake wasiojulikana waifanye na alijua lissu hawezi toboza hata siku ya pili akiwa hai...
sasa Mungu si athumani wala si ngosha leo ni karibu miezi 3 imepita imepita na Lissu anapona...

aibu!
 
Swali, kwa nn Tundu lissu kashukuru badala ya kukataa hata mkono wa mama. Na kwa chance kama hiyo angemwambia mama watu waliomshambulia, Nashauri lissu asikomae na jazba serikali imsaidie arudi kwenye majukumu yake
 
Sawa ngoja tuone.... Lakini ukiingalia vizuri CHADEMA toka kuzaliwa kwake kukua hadi sasa.... Sidhani kama kuna mtu anayefaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA zaidi ya MBOWE....
LABDA LISU ANGALAU ANAELEWEKA... TOFAUTI NA HAPO HAKUNA
According to Wewe lakini
 
Mara nyingi akina mama wana roho ya utu; hongera mama yetu umedhihirisha
Mama anakizazi na anaujua uchungu na maumivu ya kumkuza mtoto hadi kufikia hatua aliyo fikia lissu kwa mwanamke yeyote aliye vuja damu lazima aumie kwa kila unyama na ukatili unao fanywa na wataka madaraka kwa pupa hasa kwa watu wasio na hatia kabisa wenye tuhuma za kutengeneza. Mungu awalaani wote walio shiriki kwa namna yeyote katika hili.
 
Hivi paskali unaweza kwenda tembelea mtu ambaye bosi wako kamwita msaliti! Pindi asingeweza kwenda! Unakumbuka wana kamati ya walipotaka kumtembelea mwanakamati mwenzao lema mukulu alitamkaje?
 
Niliwahi kusema na narudia tena.... Samia Suluhu is a real mother... she has really earned my heart!!!!
 
Yani ww lijamaa huwa nikionaga komentzako tu .nasema hili lishetani tena hilo .Mungu anisamehe kama huwa nakuhukum kukuona kama shetani kama kweli ww nibinadam mwenzangu.
Hilo ni li KAA tena lile Kongwe. .achana nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…