Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Yule kichaa tuliye mpa rungu hata mtwanga kweli?
Ninacho shangaaa sijawahi hata siku moja kumsikia kuliongelea swala la lissu hata kinafiki hasa ukizingatia ni kiongozi mwenzie wa wananchi na hiyo inashibisha zaid hisia za watu wengi. Kwa hakika huyu mtu si mtu mwema kwetu.
 
Ila kenyata asingeapishwa wasingeenda kwa lisu, wameenda kuficha aibu tu maana wangerud bila kumjulia hali ingekua story nyingine.
 
Kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku huu,nimeona na kusikia Makamu wa Rais,Mama Samia Suluhu Hassan akimtembelea na kumjulia hali Mbunge na Rais wangu wa TLS,Tundu Lissu hospitalini.

Makamu wa Rais yupo nchini Kenya kuhudhuria,katika kumwakilisha Rais,kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto. Akiwa kitandani lakini mwenye kuimarika na bashasha,Lissu amemshukuru Makamu wa Rais kumtembelea na kumpa salamu zake za shukrani Rais Magufuli.

Naye Makamu wa Rais alionekana kufarijika na kuguswa kwa afya ya Lissu na kumtakia uponaji wa haraka. Lissu,akibonga kiingereza,alimaliza kwa kumtakia Makamu wa Rais safari njema kurejea huku Tanzania. Hakika,nimefarijika. Ni kwakuwa Serikali imeonyesha kuguswa na kufuatilia afya ya Lissu. We keep praying!

Viva Makamu wa Rais,Viva Lissu!
 
Unaendeleza tena upumbavu uleule uloandika kule . nijibu swalilangu .Wakiambiwa watu wenye akili timamu watoke mbele nawewe utatoka ???
 
hahahahaha Bawacha mwaka huu mtakuwa vicha kila aliye ona ile clip amesikia wazi kabisa baada ya makamu wa Rais kusema Rais anakupa pole sana na Lissu akasema mwambie Rais nashukuru na nina watakia kila la kheri kwenye kazi,
Kazi gani sasa .kataja aina yakazi ?? Ww lijamaa ,lishetani unamatatizo sana .
 
Mkuu lijingahilo achana nalo.
 
Makamu wa Rais Mama Samiah Leo amemtembelea mbunge Tundu Lissu kwenye hospitali anayopata matibabu jijini Nairobi nchini Kenya

Lissu amemwambia amsalimia sana Rais

 
..exactly... Kuna mambo yanafanyika nchi hii hadi unashangaa kama yanafanywa na wakristo na wala husikii makanisani yakikemewa....inasikitisha sana sana kuona wakristo wakiwa na roho mbaya sana....Na hata husikii viongozi wao wakikemea huko makanisani...

...ndio maana unasikia hadi maaskofu wanapokea rushwa kubwa za kifisadi Na hawakemewi...hii ni ishara ya ubaya huko kwenye ukristo....hata kuna vipindi walihusishwa viongozi wa dini na madawa ya kulevya...

..kwa hili la maovu...angekuwa muislamu ndio kapigwa risasi lazima ungeona huko kwenye uislamu wakikemea sana sana viongozi wa dini....ndio maana hata ulisikia waislamu walitaka kusomea albadiri waliompiga risasi Lissu... Lakini shangaa hujasikia makanisani viongozi wakikemea hili...ni aibu kubwa kwa ukristo usiokemea maovu....

...unafiki kwenye ukristo tz ni wa kupigia kelele... Maana waakumbatia uovu....

..

Mimi ni Mkristo ila tumezidi kwa Roho mbaya na kudhuru .. Waisilamu Swafi wana utu na wanachukia sana kumhudumu mtu..wanapenda haki na wanathamini sana wengine.. Nilikuwa Pemba nilijifunza mengi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…