Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
ibada njema kutembelea wagonjwa...lakini vipi kama kusingekuwa na sherehe za kuapishwa Uhuru?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amtumbuwe aone moto....wanarudi kwenye sanduku la kura na ndio atawajua wazanzibar ni kina nani...Hivi huyu hawezi kutumbuliwa?[emoji275]
teh teh teh! kama nani vile..? ha ha ha hukumuona alivyoshupavu akipiga push up!Yule jamaa mwenye frustration akisikia mbona atakangua chini kama mbwa mwenye kichaa!!!
Tbcsource
Yaani ndo iwe breaking newz?Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya.
Hawezi.Hivi huyu hawezi kutumbuliwa?[emoji275]
Kwani yeye hana familia?Ina maana kumbe tuna balozi huko? mbona sikuzote hakwenda?
tena pindi chana huyu si mtu w asingida huyu na lissu si ndugu yake kabisa au ?
Wala hatofukuzwa ..... katumwa kwenda.ajiandae kufukuzwa na magufuli huyu mama.
Unaamini kuwa hajawahi kufika?Ina maana kumbe tuna balozi huko? mbona sikuzote hakwenda?
tena pindi chana huyu si mtu w asingida huyu na lissu si ndugu yake kabisa au ?
what a belated concern from the gvtMakamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.