Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Safi sana Rais Dr. JPM, kwa kumwamini Mhe. Mama Samia.

Heko nyingi sana kwa Kazi nzuri Mhe. Mama Samia, keep the flag of Tanzania high!!
 
Kwa hiyo kutembelea wagonjwa imekua breaking news siku hizi!!?
 
  1. Nasikia kuna mtu Mwenye frastruation jumapili alimwambia IGP pale Bandarini " Kama mtu anakunanihii mtwange".!!!
  2. Lissu YUpo hospitali baada ya kutwangwa risasi kadhaa na watu wasiojulikana
nawaza tu japo nimelewa pombe kali ....... akili za pombe sio nzuri
Kati ya kata 40 na kitu chadema imeambulia moja
 
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.

Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.

Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.

Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.

Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.

Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.


Mama yetu Samia kafuata nini kwa huyo mtu maana nilisikia hataki mahusiano na mtu yeyote wa serikari

Kwanza ukiondoka tu huyo huyo mgonjwa ataanza kukung'ong'a wewe na serikari yako
 
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.

Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.

Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.

Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.

Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.

Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.


Mama samia na mabalozi ni serikali ya ccm chini ya magufuli! je hawawezi kuwa na vibastola wakammalizia Lissu?

kuna wakati chuki ikizidi inapofua ufahamu wetu!

Bado ninaamini mhusika wa tukio yuko huru wala hajawaziwa, huyu muuaji anafurahia sana mawazo yenu maana mnawaza upande mmoja

mimi siko kama hao!

Taratibu, issue inaanza kuwa dissolved mtu pekee ambaye angemsaidia Lissu ni Magufuli tu! Lissu atabaki peke yake, kuwa serikali ilihusika haitakuwa na nguvu tena, 'mhusika halisi yuko huru'

Magufuli is innocent, I repeat Magufuli is innocent

pia ni muda wa kuweka evidences kwa tuhuma zozote zile
 
Amtumbuwe aone moto....wanarudi kwenye sanduku la kura na ndio atawajua wazanzibar ni kina nani...
Hakutakuwa na sababu ya kurudi kwenye sanduku la kura....
Anaweza in other way round! Anamlazimisha ajiuzuru, na mchezo unaishia hapo labda mama adindishe!!

Akijiuzuru, katiba inampa mamlaka ya kumteua mtu mwingine ingawaje pia atapaswa athibitishwe na bunge!!
 
Back
Top Bottom