Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mkuu me sijakuomba hayo maelezo unayonipa. Nimekwambia mleteni dereva ili uchunguzi uanze kama mnavyodai.Sawa sawa mkuu.....Omba tu yasikukute maana maendeleo yana vyama lkn udikteta hauna vyama wote ni mwendo uleule waulize kina nape, kinana, makamba, mangula na membe wanajua hatari ya udikteta