Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Sawa sawa mkuu.....Omba tu yasikukute maana maendeleo yana vyama lkn udikteta hauna vyama wote ni mwendo uleule waulize kina nape, kinana, makamba, mangula na membe wanajua hatari ya udikteta
Mkuu me sijakuomba hayo maelezo unayonipa. Nimekwambia mleteni dereva ili uchunguzi uanze kama mnavyodai.
 
Kila mtu anachumia tumbo hapa duniani,kimsingi kuaminiana sio msingi wa siasa. That's politics.
 
Yakinikuta as longs as naishiriki siasa effectively (achana na nyie mnayoishiriki kwenye mitandao,na kwenye meza za kahawa😃), Basi zamu yangu itakuwa imewadia na sina Cha kulaumu. Hao mnaowalilia, wao pia waliwahi kusababisha wengine waliliwe, hakuna alie msafi. That's politics.
 
Sawa sawa mkuu.....Nakuonea huruma sana...... Omba tu yasikukute maana maendeleo yana vyama lkn udikteta hauna vyama wote ni mwendo uleule waulize kina nape, kinana, makamba, mangula na membe wanajua hatari ya udikteta
 
Hata Mimi najua.

"High risk,high gain" ulimwengu upo kwajili ya wale wote wasioogopa kutake risk.
 
Kwa kawaida jasiri haachi asili atakuwa jasiri tu.

Nakumbuka mama Samia akiwa makamu wa Rais wa JMT ndio kiongozi pekee wa juu katika mihimili yote mitatu aliyekuwa na ujasiri/ uthubutu wa kwenda kumjulia hali mhanga wa shambulio la risasi mbunge Tundu Lisu pale Nairobi hospital

Huyu mama ambaye sasa ndio Rais wa JMT ni jasiri.

Tunakumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa hiyo unataka kusema hata Balozi wa Tanzania Nchini Kenya aliogopa kwenda kumjulia hali Mtanzania mwenzake?

Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan kwa busara na ujasiri wako.
 
Kabla ya kusema kuwa Polisi wake huwa hawakosei ni risasi 3 tu

N.a. hata tukiichagua Chadema ni CCM ndio itakayoapishwa
 
res.jpg
 
Kwa kawaida jasiri haachi asili atakuwa jasiri tu.

Nakumbuka mama Samia akiwa makamu wa Rais wa JMT ndio kiongozi pekee wa juu katika mihimili yote mitatu aliyekuwa na ujasiri/ uthubutu wa kwenda kumjulia hali mhanga wa shambulio la risasi mbunge Tundu Lisu pale Nairobi hospital

Huyu mama ambaye sasa ndio Rais wa JMT ni jasiri.

Tunakumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
Mkumbushen lisu akitaka kurudi atangaze kabisa ili tukampokee pale airport

Hakika nakwambia atayaoga mavi had ajute kurud Tz....amin nakwambia
 
Back
Top Bottom