Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Biashara ya Dini inalipa kinoma,

Ndo maana ROMAN CATHOLIC wanapesa kuliko Serikali yoyote Ile duniani

Roman Catholic wanamiliki Robo ya kipande Cha ardhi yote ya hii dunia
Ila wale utajiri wao ni wawote si wa mtu mmoja mmoja
 
Bongo maeneo beo kali sana ,USA majumba makubwa kama ya kina 50 cent walinunua kwa usd 4mils.

Kwenye House Hunters kuna nyumba za USD laki 6 tena ni water front.
 
Hongera, maana Kawe ni kubwa sana. Umefanya kazi kubwa sana ya kuchunguza watoa ushuhuda wote na kugundua hakuna hata mmoja anayetoka Kawe 😂
Hakuna, hakuna mtoa ushuhuda ambaye anatokea sehemu hiyo hiyo anayofanya hiyo miujiza. Akiwa kawe utasikia mtoa ushuhuda akisema ulipokuja Mbeya/Bukoba na kunipa maji ya upako ndiyo nikapona. Lakini huwezi sikia yupo hapo Bukoba mjini akaja mtu wa hapo hapo bukoba mjini ambaye watu wanamjua na kutoa ushuhuda. Hata akija wa Bukoba basi atasema ametoka huko ndani ndani sana na siyo hapo mjini. Kwani kawe hakuna walemavu, mbona hakuna mwenye kutoa ushuhuda hata mmoja. Jiulize ni mremavu gani unayemjua alipata muujiza na kuwa sawa.
 
[emoji23][emoji23] akili kumkichwa...usanii mtupu...
 
Wengi mnadhani ni sadaka peke yake mtakaa sana watu kupitia hayo makusanyiko wanavusha vitu vingi illigally na ndiko dolari zinakopigwa huko unakuta humo makusanyikoni kuna drug mules wa kutosha na wanafanya mawasilisho kwa uaminifu mkubwa
Nilipowaona magiant siku Ile ya msiba wa Mzee wake nilijua Kuna jambo
 
Weka picha mkuu!
 
Kanisa linakopesheka na bank mkuu kila jumatatu marejesho ni mrad wa muda mrefup
 
Hii kamba mimi binafsi nimeamua kuiruka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…