Ni wapili baada ya shirika like la fedha IMF kama sijakosea .Wameizidi hata serikali ya TRUMP????
Sikuwahi sikia hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapili baada ya shirika like la fedha IMF kama sijakosea .Wameizidi hata serikali ya TRUMP????
Sikuwahi sikia hilo
Ila wale utajiri wao ni wawote si wa mtu mmoja mmojaBiashara ya Dini inalipa kinoma,
Ndo maana ROMAN CATHOLIC wanapesa kuliko Serikali yoyote Ile duniani
Roman Catholic wanamiliki Robo ya kipande Cha ardhi yote ya hii dunia
Kuna mtu namfahamu 2024 yote alitoa sadaka mil 300.Mtu anatoa Sadaka ya million 400 yeye anaingiza pesa kiasi gani? Pesa haijawahi kuwa rahisi hivyo
Sio kweli muulizeni vizuri pesa katoa wapi wanachuo hawana uwezo wa kumchangia hiyo hela.Pesa za waumini hizo. Halafu unakuta muumini hana hata nyumba au eneo
Correct answerMoney Laundering...pesa ya Sadaka haiojiwi...we chukua laki tano za waumini changanya na million mia 7 za Ngada, kabank, nobody will question, baada ya hapo ni multiple transactions za donations na kununua properties and vehicles kurudi kwa wenye hela original.
Sawa nimekuelewa wajanja wamemchangia mjinga bil10!Hàkuna mjinga mwenye hela, wajinga wachañge bilion 10,?
Ile doc ya gold mafia imefumua mambo mengi sanaHuyo Yuko chini ya yule Mzimbabwe Alieko kwenye scandal ya Gold Mafia.
Nenda YouTube kaitazame hiyo documentary utajua hizo Hela zinapotoka
Bongo maeneo beo kali sana ,USA majumba makubwa kama ya kina 50 cent walinunua kwa usd 4mils.Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Hakuna, hakuna mtoa ushuhuda ambaye anatokea sehemu hiyo hiyo anayofanya hiyo miujiza. Akiwa kawe utasikia mtoa ushuhuda akisema ulipokuja Mbeya/Bukoba na kunipa maji ya upako ndiyo nikapona. Lakini huwezi sikia yupo hapo Bukoba mjini akaja mtu wa hapo hapo bukoba mjini ambaye watu wanamjua na kutoa ushuhuda. Hata akija wa Bukoba basi atasema ametoka huko ndani ndani sana na siyo hapo mjini. Kwani kawe hakuna walemavu, mbona hakuna mwenye kutoa ushuhuda hata mmoja. Jiulize ni mremavu gani unayemjua alipata muujiza na kuwa sawa.Hongera, maana Kawe ni kubwa sana. Umefanya kazi kubwa sana ya kuchunguza watoa ushuhuda wote na kugundua hakuna hata mmoja anayetoka Kawe 😂
Sio rahisi hivyo kwa sadaka za buku bukuUshahidi unao? Au ndo story za vijiweni?
[emoji23][emoji23] akili kumkichwa...usanii mtupu...Hakuna, hakuna mtoa ushuhuda ambaye anatokea sehemu hiyo hiyo anayofanya hiyo miujiza. Akiwa kawe utasikia mtoa ushuhuda akisema ulipokuja Mbeya/Bukoba na kunipa maji ya upako ndiyo nikapona. Lakini huwezi sikia yupo hapo Bukoba mjini akaja mtu wa hapo hapo bukoba mjini ambaye watu wanamjua na kutoa ushuhuda. Hata akija wa Bukoba basi atasema ametoka huko ndani ndani sana na siyo hapo mjini. Kwani kawe hakuna walemavu, mbona hakuna mwenye kutoa ushuhuda hata mmoja. Jiulize ni mremavu gani unayemjua alipata muujiza na kuwa sawa.
Nilipowaona magiant siku Ile ya msiba wa Mzee wake nilijua Kuna jamboWengi mnadhani ni sadaka peke yake mtakaa sana watu kupitia hayo makusanyiko wanavusha vitu vingi illigally na ndiko dolari zinakopigwa huko unakuta humo makusanyikoni kuna drug mules wa kutosha na wanafanya mawasilisho kwa uaminifu mkubwa
Weka picha mkuu!Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Picha ya Nini?Weka picha mkuu!
Kweli mzee, madalali hameharibu kabisa soko la ardhi, hasa jijini DarBongo maeneo beo kali sana ,USA majumba makubwa kama ya kina 50 cent walinunua kwa usd 4mils.
Kwenye House Hunters kuna nyumba za USD laki 6 tena ni water front.
Mimi ni mganga wa kijadiAnzisha nawewe usinisahau hata kuwa Mzee kiongozi wa kanisa lako
Kanisa linakopesheka na bank mkuu kila jumatatu marejesho ni mrad wa muda mrefupDogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Hii kamba mimi binafsi nimeamua kuiruka.Namjua mtu ambaye ni partner wa kapola, wanajiita "the osborns"
wanatoa sadaka zao tofauti na zile za kanisani
aliniambia kuna partner aliwahi kutoa 400M kama shukrani
hapo bado kuna wafanyabiashara wakubwa wanatoa fungu la kumi
na fungu la kumi ni halali ya mchungaji 100%