Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Nipo Rafiki yangu, wewe ndio ulipotea, au ulienda kupambania jimbo?Nimekumiss mno, hadi nimeku mistaken
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Rafiki yangu, wewe ndio ulipotea, au ulienda kupambania jimbo?Nimekumiss mno, hadi nimeku mistaken
Hii ni ajabu sanaDini Ukiwekeza kwa wanawake unatoboa
Wanamuita daddy na wanampa hela kwanini asitajirike
Nilikuwa naangalia either W.A.G.s to Riches or Selling The OC(NetFlix) ,kuna Mansion la hatari lina swimming pool mbele ,garden ya hatari ,plot ni kama ekari moja hivi ,na linatazama bahari ,ilikuwa inauzwa usd 6m ila kwa Bongo pale Fumba Highland kuna nyumba inauzwa usd 12m na size ni sqm 3000.Kweli mzee, madalali hameharibu kabisa soko la ardhi, hasa jijini Dar
Bwana wee, limbwata lipo na linafanya kazi. Nilipata mafao, nikajikuta Niko Kivu, DRCNipo Rafiki yangu, wewe ndio ulipotea, au ulienda kupambania jimbo?
Unasema ukweli mtupuu.Hakuna, hakuna mtoa ushuhuda ambaye anatokea sehemu hiyo hiyo anayofanya hiyo miujiza. Akiwa kawe utasikia mtoa ushuhuda akisema ulipokuja Mbeya/Bukoba na kunipa maji ya upako ndiyo nikapona. Lakini huwezi sikia yupo hapo Bukoba mjini akaja mtu wa hapo hapo bukoba mjini ambaye watu wanamjua na kutoa ushuhuda. Hata akija wa Bukoba basi atasema ametoka huko ndani ndani sana na siyo hapo mjini. Kwani kawe hakuna walemavu, mbona hakuna mwenye kutoa ushuhuda hata mmoja. Jiulize ni mremavu gani unayemjua alipata muujiza na kuwa sawa.
Mbona umeshikia bango ulemavu? Hakuna miujiza mingine zaidi ya ulemavu?Hakuna, hakuna mtoa ushuhuda ambaye anatokea sehemu hiyo hiyo anayofanya hiyo miujiza. Akiwa kawe utasikia mtoa ushuhuda akisema ulipokuja Mbeya/Bukoba na kunipa maji ya upako ndiyo nikapona. Lakini huwezi sikia yupo hapo Bukoba mjini akaja mtu wa hapo hapo bukoba mjini ambaye watu wanamjua na kutoa ushuhuda. Hata akija wa Bukoba basi atasema ametoka huko ndani ndani sana na siyo hapo mjini. Kwani kawe hakuna walemavu, mbona hakuna mwenye kutoa ushuhuda hata mmoja. Jiulize ni mremavu gani unayemjua alipata muujiza na kuwa sawa.
Hahahahah huyo mtu anatoa sadaka 300M yeye ana pesa kiasi gani?! Au anatoa kwa niaba ya kundi flani?Kuna mtu namfahamu 2024 yote alitoa sadaka mil 300.
MUNGU hadhiwakiwi!!Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Mimi ninawsiwasi sana kama chanzo cha hayo mapato ni kanisa ,otherwise anawaumini wachache sana wanaompa hela au anavyanzo vingine .Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Kabisa ,inawezekana anabiashara halali kabisa ,lakini sio kanisa limpe hela hizo.Bro kanisa ni front bumper tuu
Nazungumzia ulemavu maana ndiyo mtu anaweza thibitisha, mengine mtu anaweza danganya. Naweza sema nilikuwa na uvimbe nikapona, sasa wew unaweza kuuona huo uvimbe? Anyway niambie nani unayemjua na alikuwa na tatizo gani akapona?Mbona umeshikia bango ulemavu? Hakuna miujiza mingine zaidi ya ulemavu?
Niambie nani unayemjua ambaye hakupona ila akasema amepona?Anyway niambie nani unayemjua na alikuwa na tatizo gani akapona?
Ya eneo la bilioni 7!Picha ya Nini?
Mzee hujui tu?Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Money laundering machinesMzee hujui tu?
Hivi sasa kazi ya makanisa ni kutakatisha pesa, maana pesa za sadaka haziwi audited wala hazina invoice kujua ni kiwango gani.
Wengi hautajua ni wapigaji na sio wachungaji siku ya hukumu.
Unapafahamu pale Mwenge zamani jengo la sinema? Ndio hapo kapanunua, nenda ukapige picha weweYa eneo la bilioni 7!