Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Disclaimer: I respect religious leaders.
Businesses that deal in cash may be more susceptible to money laundering, but not all are involved.
 
Kweli mzee, madalali hameharibu kabisa soko la ardhi, hasa jijini Dar
Nilikuwa naangalia either W.A.G.s to Riches or Selling The OC(NetFlix) ,kuna Mansion la hatari lina swimming pool mbele ,garden ya hatari ,plot ni kama ekari moja hivi ,na linatazama bahari ,ilikuwa inauzwa usd 6m ila kwa Bongo pale Fumba Highland kuna nyumba inauzwa usd 12m na size ni sqm 3000.

Tanzania Bei za nyumba ni ghali kuliko hata marekani na UK.
 
Unasema ukweli mtupuu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mbona umeshikia bango ulemavu? Hakuna miujiza mingine zaidi ya ulemavu?
 
MUNGU hadhiwakiwi!!
 
Mimi ninawsiwasi sana kama chanzo cha hayo mapato ni kanisa ,otherwise anawaumini wachache sana wanaompa hela au anavyanzo vingine .

1. Waumini alionao ni wachache na wengi ni vijana ambao sio wanaukwasi mkubwa
2.Anaaudience kubwa mitandaoni ambapo wengi wao wanasikiliza mafundisho bila kuchanga fedha.

Hizo $3m ni zaidi ya 6.8bn , zizani kama sadaka na michango inaweza toa life style ile na hizo gharama za kununua eneo


Hongera kwake kwa kazi nzuri
 
Mbona umeshikia bango ulemavu? Hakuna miujiza mingine zaidi ya ulemavu?
Nazungumzia ulemavu maana ndiyo mtu anaweza thibitisha, mengine mtu anaweza danganya. Naweza sema nilikuwa na uvimbe nikapona, sasa wew unaweza kuuona huo uvimbe? Anyway niambie nani unayemjua na alikuwa na tatizo gani akapona?
 
Mzee hujui tu?

Hivi sasa kazi ya makanisa ni kutakatisha pesa, maana pesa za sadaka haziwi audited wala hazina invoice kujua ni kiwango gani.

Wengi hautajua ni wapigaji na sio wachungaji siku ya hukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…