Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Unaweza jiuliza, yeye kanisan kwake, wanaosali ma bilionea na milionea pekee?.
 
Dola milion 3 au Dola laki 3...iyo hela sio mchezo
 
Hawa watu hawa huenda kwa wataalam wa mvuto yani ukienda kwake ni kama umekuwa msukule hata umkute na mkewako unaona sawa tu ogopa sana hawa watu....makashfa kibao.lkn wanadunda tu ....
 
Kanisa linataka uwe na network ya Mafia Cartels wawe wanapitishia mambo yao kupitia kwako kisha unamega jala in percentage.
Baada ya kufungua naingia kwenye mfumo taratibu. Ila wenye makania alaf wana pesa sana pia wana mambo mengii
 
Baada ya bwibwi, ujambazi wa kidini unalipa iwe ni kupitia kuwaibia mazwazwa, kuuza bwimbwi, kuwa chawa na kula na wakubwa , na kutumika kukwepa kulipa kodi za uingizaji bidhaa nchini.
 
Biashara ya Dini inalipa kinoma,

Ndo maana ROMAN CATHOLIC wanapesa kuliko Serikali yoyote Ile duniani

Roman Catholic wanamiliki Robo ya kipande Cha ardhi yote ya hii dunia
Utajiri wao ni kiasi gani ili tulinganishe na taasisi nyengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…