Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Nakazia hapaHuwa kuna mambo mengine pia. Sadaka tu haitoshi kufanya hayo yote. Wana biashara zao za siri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapaHuwa kuna mambo mengine pia. Sadaka tu haitoshi kufanya hayo yote. Wana biashara zao za siri.
Unaweza jiuliza, yeye kanisan kwake, wanaosali ma bilionea na milionea pekee?.Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Dola milion 3 au Dola laki 3...iyo hela sio mchezoDogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Hizo sio Pesa za waumini .Pesa za waumini hizo. Halafu unakuta muumini hana hata nyumba au eneo
Mbona kwenye kila uzi we unaandikaga hivi tuDuh aiseee
Kwa hiyo umezipeleka hizo hips zako nono kule.Dady wetu 🙈🙈
Unauliza makofi polisi? [emoji23]Kwa hiyo umezipeleka hizo hips zako nono kule.
Hatari sanaUnauliza makofi polisi? [emoji23]
Mbona kwenye kila uzi we unaandikaga hivi tu
Nimeuliza tu? Wewe ndio utuambie kwaniniTatizo liko wapi?
Hawa watu hawa huenda kwa wataalam wa mvuto yani ukienda kwake ni kama umekuwa msukule hata umkute na mkewako unaona sawa tu ogopa sana hawa watu....makashfa kibao.lkn wanadunda tu ....Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Nimeuliza tu? Wewe ndio utuambie kwanini
Baada ya kufungua naingia kwenye mfumo taratibu. Ila wenye makania alaf wana pesa sana pia wana mambo mengiiKanisa linataka uwe na network ya Mafia Cartels wawe wanapitishia mambo yao kupitia kwako kisha unamega jala in percentage.
Hapo Wala asilaumiwe Mchungaji Bali huyo mwenzio ndiye mwenye shida kichwani mwakeKuna mtu namfahamu 2024 yote alitoa sadaka mil 300.
Tutachoma hizo sana Kwa jina YesuMimi ni mganga wa kijadi
Baada ya bwibwi, ujambazi wa kidini unalipa iwe ni kupitia kuwaibia mazwazwa, kuuza bwimbwi, kuwa chawa na kula na wakubwa , na kutumika kukwepa kulipa kodi za uingizaji bidhaa nchini.Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Utajiri wao ni kiasi gani ili tulinganishe na taasisi nyengine?Biashara ya Dini inalipa kinoma,
Ndo maana ROMAN CATHOLIC wanapesa kuliko Serikali yoyote Ile duniani
Roman Catholic wanamiliki Robo ya kipande Cha ardhi yote ya hii dunia