Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

sio rahisi anastahili pongezi zake, labda kama una wivu!?
 
Issue Sio Upako.Issue ni Pesa
 
  1. The armed robber takes your money from you with a gun in his hand:
  2. The pastor takes your money by brandishing a bible
BOTH ARE ROBBERS
 
Jioni ya leo mbengo zitafongoka
 
Kwenye hayo makanisa kuna utakatishaji mkubwa mno wa fedha haramu ambazo zinapatikana kutokana na biashara haramu!!! Fanya kazi kwa bidii, kuwa na nidhamu kwenye matumizi, hakika utafanikiwa!
 
Kwenye hayo makanisa kuna utakatishaji mkubwa mno wa fedha haramu ambazo zinapatikana kutokana na biashara haramu!!! Fanya kazi kwa bidii, kuwa na nidhamu kwenye matumizi, hakika utafanikiwa!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Babamentor wake/yake wa kiroho Prophet Eubert Angel ndio mshiriki mkuu kwenye sakata la GOLD MAFIA...na huyu dogo huwa anatimba sana Zimbabwe hapo!! So ask yourself...
 
Niambie nani unayemjua ambaye hakupona ila akasema amepona?
Wote wanaotoa ushuhuda mim siwajui, kwani huwa wanadai wametoka mbali huko hawajulikani. Sasa wewe sema nani kapona unayemjua? Au na wewe kama mimi hakuna unayemjua?
 
Ishu sio mamlaka kulala, connect dots tu: Mshkaji wake si unamjua( Achana na yule ya Zimb)? Mshkaji ambaye kila kwenye harakati janjajanja yupo kule serengeti, vita ya "Nyeupe", makontena, vita na wafanyabiashara, kupora magari na ishu kibao... enhe huyo huyo kipenzi cha waTanzania

Kiufupi watu washapewa baraka, nasema kila siku huwezi fanya uhuni na wazee wasikujue. Hamna kitu kama hicho.
 
Kwenye hayo makanisa kuna utakatishaji mkubwa mno wa fedha haramu ambazo zinapatikana kutokana na biashara haramu!!! Fanya kazi kwa bidii, kuwa na nidhamu kwenye matumizi, hakika utafanikiwa!
Nikifanikiwa nitautafuta upako hata wa kununua Nigeria
 
Hivi yule dogo bilionea nani sijui Bado yupo pale mwenge ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…